fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,540
- 8,995
kwani ni mwanamke? Mume wa nani aliyeko jamaika?Huyu mtangazaji hivi sasa anaendesha kioindi cha ujumbe katika muziki,ana sauti nzuri na anatangaza vizuri na kwa hisia.Ameanza na wimbo wa sauda aliyepenfa mimba nje ya ndoa wakati mumewe yuko jamaica,ni wimbo mzuri sana wa juwata.Nampongeza sana
hebu soma vizuri huo uzi kabla hujatoa maoni,ukiuliza kwani ni mwanamke unamaanisha nini?Nani alikuambia mwanaume huwa hana sauti nzurikwani ni mwanamke? Mume wa nani aliyeko jamaika?
aahaaa! Nimeelewa, kumbe ni ujumbe ulioko kwenye wimbohebu soma vizuri huo uzi kabla hujatoa maoni,ukiuliza kwani ni mwanamke unamaanisha nini?Nani alikuambia mwanaume huwa hana sauti nzuri
Asante na ni mwanamziki pia maana huwa anaimbafimboyaukwaju aisee nimeamini kuna binadamu tunafanana sanaa kihisia na kifikira.
Huyu jamaa Ashery Chilewa ana sauti nzuri sanaa ya utangazaji hasa anaposimulia nyimbo za zamani Zilipendwa ananifanya nikumbukie Maisha ya miaka ya 80 na 90 yalivyokua mazuri.
Kongore sana kwako Mkuu kwa kuleta uzi huu, I Salute 🫡
Aisee sikujua hili? Je, Kuna kibao chake chochote kipo youtube nisikilize?Asante na ni mwanamziki pia maana huwa anaimba
Ngoja ntakutafutia maana huyo ni mwanamziki kabisaAisee sikujua hili? Je, Kuna kibao chake chochote kipo youtube nisikilize?
Nitashukuru sana mkuu wanguNgoja ntakutafutia maana huyo ni mwanamziki kabisa