Mtoto wa Kishua
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 834
- 151
Hivi kutakua na usalama kwa harakati za kukomboa wasanii ikiwa huyu mama ataingia madarakani? . Navyotambua huyu mama ana social life fulani na je uswahiba na kina Ruge haupo , ukizingatia Ruge anavyojua kujipendekeza.kwa mtizamo wangu kina Ruge watapeta kwa miaka 14 mingine ijayo.
Mbona unataka umshafue huyu Mama kwa kumgroup na hawa wacheza shoo? Huyu mama sidhani kama ana ukaribu na hawa jamaa!
Angalia usije tumika vibaya yakhe!
Simchafui na sijawahi sikia kashfa yeyote kwa huyu mama , ila najiuliza hana ukaribu na hao wanao itwa wacheza show? , sababu wacheza show wako na ukaribu na kila mwenye nafasi ya maamuzi, nikiwa kama mdau wa burudani ninapenda kujua kama bado watapeta au ndio harakati zitatimiza .tusije sikia anafanyiwsa mapokezi makubwa na THT ndio watumbuizaji. Suala hili ni dogo sana kimtizamo nikubwa sana kwa future ya burudani ya musiki Tanzania
Huyu mama ndio rais ajaye?
Hivi kutakua na usalama kwa harakati za kukomboa wasanii ikiwa huyu mama ataingia madarakani? . Navyotambua huyu mama ana social life fulani na je uswahiba na kina Ruge haupo , ukizingatia Ruge anavyojua kujipendekeza.kwa mtizamo wangu kina Ruge watapeta kwa miaka 14 mingine ijayo.
Ruge ni nani? Nani kasema Asha Rose ataingia madarakani? Amevurunda United Nations amefukuzwa,she will soon join the ranks of the unemployed.