Asha-Rose Migiro appointed as UN Secretary-General’s Special Envoy for HIV/AIDS in Africa

Dr Asha Rose Migiro ameteuliwa kuwa "UN SECRETARY GENERAL'S SPECIAL ENVOY FOR HIV/AIDS IN AFRICA".
Katibu mkuu bw Ban Ki Moon amemsifu Dr na kusema uwajibikaji wake na uzoefu wake juu ya afya na mambo ya kijamii yametosha kumpa Dr Migiro sifa hio..

WAKO WAPI WALIOPONDA MIGIRO'S PERFORMANCE?


chanzo: michuzi blog....
 
Sijui kama mama Migiro amejifunza kufanya dinner speeches zinasaidia kweli kuboost income, kama hakusudii kutunga vitabu.
 
From Deputy Secretary General to Special Envoy, common you guys, wasanii kibao ndiyo wanakuwa maspecial envoys kama Angelina. Hii ingetakiwa kuwa siri nzito, yeye tu na mumewe wangepaswa kujua mpaka watanzania wasahau kama alikuwa Deputy S.G
 
watu sijui ni wivu dah watu walikuwa wameshaanza kuhangaika na pressure zao wanahisi labda anakuja kugombea urais kapata hiyo nafasi tena bado wanamuona ni brainless? hivi mnataka kuniambia hata huko kuna mambo ya kupeana peana tu vinafasi bila kuangalia uwezo wa mtu? africa wapo wangapi wenye uwezo? mpeni heshima mama wa watu na kuthamini hata kazi yake anayofanya, unaemponda umefanya nini hata kwenye hicho kijiji chako ulichotoka kwa kazi yako unayoifanya? tuache wivu jamani waachieni ma boss wake ndio waseme kama hawezi au anaweza kazi msiwe mnaingilia kazi ambazo haziwahusu kabisa. wivu wivu utatufikisha pabaya kabisa sijaona hata moja la kumpongeza huyu mama ina maana yooote kafanya hovyo?? wewe umejipimaje au watu wanakutathimini vip kazi yako kwenye kampuni unayoifanya?

mimi sjaifanyia chochote kijiji yangu zaidi ya reafforestation

pamoja na kutokufanya lolote la maana kijijini kwangu bado SI KIGEZO CHA KUUKUBALI UTENDAJI OVYO NA DHAIFU WA DR.ASHA...

jaribu kufikiri..Dr.ASHA alikuwa UDSM akaja MAMBO YA NJE.....eleza ni kipi hasa kilikuwa nyuma ya hii promotion? (jambo gani la maana alofanya kumpaisha kwenda mambo ya nje)

Akiwa NAIBU WA MOON--sasa ni utendaji upi wa maana aliousimamia akiwa mambo ya njee uliomwezesha kwenda UN??

dr.migiro kuwa na Phd sio kigezo cha utendaji, kulecture school of LAW sio kigezo pia kwani ni maprofessor wangapi wenye analyisis za kijinga walioko hapa UDSM????
 
mimi sjaifanyia chochote kijiji yangu zaidi ya reafforestation

pamoja na kutokufanya lolote la maana kijijini kwangu bado SI KIGEZO CHA KUUKUBALI UTENDAJI OVYO NA DHAIFU WA DR.ASHA...

jaribu kufikiri..Dr.ASHA alikuwa UDSM akaja MAMBO YA NJE.....eleza ni kipi hasa kilikuwa nyuma ya hii promotion?
(jambo gani la maana alofanya kumpaisha kwenda mambo ya nje)

Akiwa NAIBU WA MOON--sasa ni utendaji upi wa maana aliousimamia akiwa mambo ya njee uliomwezesha kwenda UN??

dr.migiro kuwa na Phd sio kigezo cha utendaji, kulecture school of LAW sio kigezo pia kwani ni maprofessor wangapi wenye analyisis za kijinga walioko hapa UDSM????

kwa hiyo unataka kuniambia na hiyo nafasi aliyopewa bado una mawazo ya kuwa kuna kitu kilichojificha nyuma ya pazia? na kwanza umesema hujaona kazi aliyofanya akiwa UN unaweza kuniambia job description ya naibu katibu mkuu? na ndio tuchambue alichemsha? na ninani anaepima performance ya utendaji wake wa kazi mpka ujue alichemsha? usisikie la kusikia mkuu au eti
 
Mh..yaani humu ni KUPONDA NA KUSIFU ndo mpango.
Wengine humu ni masecretary tu wa vicoba na huo usekeretary ni wa kuupata kwa kuhonga nyeti zao.wanadhani walivopata kazi wao na mwenzao kapitia process hizohizo
 
dhaifu alishindwa kaz amerud nyumbani kupiga ndogo ndogo lumumba
inaonekana tu watu tumekua wepesi wa kulalamika bila kutathimini nini tunaonge nini tunatakiwa kufanya,na wapi jf imekua sawa na taarab hamna kukubaliana na hali ni majungu tu mama wa watu kakosea nini? Au ulitaka baba na mama yako ndiyo wawe appointed? Tujadili vitu vya msingi siyo kila muda siasa na mambo mengi ya kijinga mnatumiwa na wanasiasa kwa kila jambo kuna maada nyingi jamani
 
Congrats Migiro.......... push t to the limit...@

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni........ hyu mama ni academician wa ukwee e'
 
Ukisema brainless unamuonea huyu mama kiukweli huyu mama ni miongoni mwa watu bright sana Tanzania ila sio politician huyu anatakiwa awe kwenye vyuo vikuu akifundisha au kufanya research mbalimbali au kuwa consultant lakini medani ya siasa au diplomasia hawezi, nimesoma baadhi ya academic publication zake she is bright real!

Nani alimwambia/mshauri aingie kwenye siasa? Si kila mtu anaweza kuwa mwanasiasa! Alianza kupoteza dira alipokubali kuwa mwanasiasa (member wa wanamtandao). Anyways namtakia mema kwenye nafasi yake mpya.
 
Ban Kin Moon ni ndumilakuwili huyo mtu,juzi alitoa taarifa kwamba dr migiro alikua na poor performance sasa watu wamejua aliyoyasema ndio kampa kifuta machozi, ushauri wangu kwa migiro usikubali hyo position nenda kafundishe chuo kama ulivyosema kwamba unataka kuwa mama na kurudi kwa mwajili wako,ukifanya hyo kazi basi Ban kin moon atazidi kukudharau ni bonge la demotion hilo!!
 
Ban Kin Moon ni ndumilakuwili huyo mtu,juzi alitoa taarifa kwamba dr migiro alikua na poor performance sasa watu wamejua aliyoyasema ndio kampa kifuta machozi,ushauri wangu kwa migiro usikubali hyo position nenda kafundishe chuo kama ulivyosema kwamba unataka kuwa mama na kurudi kwa mwajili wako,ukifanya hyo kazi basi Ban kin moon atazidi kukudharau ni bonge la demotion hilo!!
Dah mkuu unaweza nionyesha mahala Ban Kin Moon alipotoa taarifa ya kwanza kuwa Migiro kaachishwa kwa sababu ya poor performance?..Nitamwona Migiro hazimtoshi maana kashushwa hadhi vibaya sana.
 
Bonge ya demotion kutoka makamu rais hadi diwani utasema milango imefunguka wabongo kweli hamnazo
 
..sasa ww unaona hiki nacho ni cheo cha maana ? Sana sana atakuwa anasoma magazeti na kusubiri kwenda kufungua warsha na semina !! Mtu anakupiga kibuti then anakuchagua kuwa karani na wengine wanakenua....!!

hongera sana madam, naona Mungu kakufungulia milango ya baraka achana na hizi siasa za magamba.
 
Back
Top Bottom