ASHA ROSE MIGIRO ana SPEECH TAMU SANA

ASHA ROSE MIGIRO ana SPEECH TAMU SANA

kwa hali ya sasa tanzania haitaji kiongozi dizain mama migiro. ni kweli ni mzur wa kujieleza >magufuli; lakini ni kweli pia magufuli anaaweza ku-'walk the talk' > migiro, watanzania wanahitaji mtu ambaye ata walk the talk
 
sure ingekua sio gubu la ccm Migiro angepitishwa kwa speech yenye viwango. huyo magufuli kafunikwa na wanawake. hajui kupangilia speech cjui akiwa raisi atatuwkilisha vipi kmataifa. Shammme!!
Pale ilikuwa ni kushawishi wapiga kura na aliyeweza kujinadi na kuwashawishi wapiga kura ni Magufuli
 
migiro is good best better
 
Back
Top Bottom