ASHA ROSE MIGIRO ana SPEECH TAMU SANA

ASHA ROSE MIGIRO ana SPEECH TAMU SANA

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Tukiachana na mambo mengine kwa mliobahatika kuwaangalia watia nia watatu wa jana kama ni kujudge nani anayejua kujieleza basi mwanamama yule kawashinda wote,kwanza ametulia anajua kuyapangilia maneno na ushawishi wa hali ya juu kwamba hata kama mwanzo mtu ulikuwa humuwazii kwa lolote na wazi kwamba anaweza kubadili fikra zako,kweli mama unafaa na nimeamini ana uwezo mkubwa sana si ajabu ndo mana anateuliwa kwa nyadhifa kubwa kubwa zamani nilikuwa najiuliza what is extra or what is special for her,but now i know.....may God give chance to this INCREDIBLE WOMAN WE HAVE IN TANZANIA TO BE OUR LEADER....AMEN.
 
Talking the talk is not similar as running the talk.
 
Magufuli kura 1560.

Migiro kura 702.

Amina kura 349.
👽From: Source in the Kitchen.

Officially John Pombe Magufuli is a presidential candidate for CCM.
 
nimeambiwa ili kuharibu upepo wale wote waliokuwa mashabiki wa EL wameelekezwa kupiga kura kwa akina mama tu na si kwa pombe. we subiri mtaona.
 
Yeah she can talk the talk of course....but unfortunately we need a man of action, a person who-can walk-the walk. That's where Dr Magufuli trounce Dr Migiro. Dr Magufuli has a proven record under his belt, what does Dr Migiro has to prove herself to us?serving UN as a deputy Secretary?That's not enough!
 
Tukiachana na mambo mengine kwa mliobahatika kuwaangalia watia nia watatu wa jana kama ni kujudge nani anayejua kujieleza basi mwanamama yule kawashinda wote,kwanza ametulia anajua kuyapangilia maneno na ushawishi wa hali ya juu kwamba hata kama mwanzo mtu ulikuwa humuwazii kwa lolote na wazi kwamba anaweza kubadili fikra zako,kweli mama unafaa na nimeamini ana uwezo mkubwa sana si ajabu ndo mana anateuliwa kwa nyadhifa kubwa kubwa zamani nilikuwa najiuliza what is extra or what is special for her,but now i know.....may God give chance to this INCREDIBLE WOMAN WE HAVE IN TANZANIA TO BE OUR LEADER....AMEN.

sure ingekua sio gubu la ccm Migiro angepitishwa kwa speech yenye viwango. huyo magufuli kafunikwa na wanawake. hajui kupangilia speech cjui akiwa raisi atatuwkilisha vipi kmataifa. Shammme!!
 
Lowasa hajawahi kuwa na hata tone ya shida na magufuri. Fuatilia
 
sure ingekua sio gubu la ccm Migiro angepitishwa kwa speech yenye viwango. huyo magufuli kafunikwa na wanawake. hajui kupangilia speech cjui akiwa raisi atatuwkilisha vipi kmataifa. Shammme!!
Hatuhitaji wapiga porojo tena ikulu,zama zao zishapita.Acha wachapa kazi wakafanye kazi,naona zama za Mkapa zikirudi tena.
 
Yeah she can talk the talk of course....but unfortunately we need a man of action, a person who-can walk-the walk. That's where Dr Magufuli trounce Dr Migiro. Dr Magufuli has a proven record under his belt, what does Dr Migiro has to prove herself to us?serving UN as a deputy Secretary?That's not enough!

Mhh rekodi ya kutumikia UN kwa mtazamo wako waiona haitoshi?! Mkuu hiyo yamaanisha ana rekodi inayong'ara hata nje ya mipaka yetu!! Dr. Migiro you vzr sana, namtabiria uwaziri mkuu!!
 
hivi tunatafuta mtoa speech au mtendaji atakae linda maslahi ya tz jamani tumia akili basi na wewe .mi najua mafisadi ndo mwisho hapo cha msingi mkuu ampe mwakyembe uwazili mkuu mwakyembe .
 
Mhh rekodi ya kutumikia UN kwa mtazamo wako waiona haitoshi?! Mkuu hiyo yamaanisha ana rekodi inayong'ara hata nje ya mipaka yetu!! Dr. Migiro you vzr sana, namtabiria uwaziri mkuu!!
Huko UN ameacha legacy gani as a first black woman to hold the highest post?I bet she left nothing other than just holding the post.
 
Yeah she can talk the talk of course....but unfortunately we need a man of action, a person who-can walk-the walk. That's where Dr Magufuli trounce Dr Migiro. Dr Magufuli has a proven record under his belt, what does Dr Migiro has to prove herself to us?serving UN as a deputy Secretary?That's not enough!

Mkuu ni "fired" deputy General Sectretary of UN coz she was useless....really useless!

Mweupe sana kwenye uongozi kwa vitendo!...Nashangaa mijitu inaona mtu kuongea vizuri ndio mtendaji plus ilishadhibitika hana utendaji wowote,useless meat-head!
 
Wabongo wamezowea kudanganywa,thanks CCM for the first time you've made the right decision, Dr Magufuli is what this country need right now, someone who can't hesitate to make tough decisions, a golfer!
 
Tukiachana na mambo mengine kwa mliobahatika kuwaangalia watia nia watatu wa jana kama ni kujudge nani anayejua kujieleza basi mwanamama yule kawashinda wote,kwanza ametulia anajua kuyapangilia maneno na ushawishi wa hali ya juu kwamba hata kama mwanzo mtu ulikuwa humuwazii kwa lolote na wazi kwamba anaweza kubadili fikra zako,kweli mama unafaa na nimeamini ana uwezo mkubwa sana si ajabu ndo mana anateuliwa kwa nyadhifa kubwa kubwa zamani nilikuwa najiuliza what is extra or what is special for her,but now i know.....may God give chance to this INCREDIBLE WOMAN WE HAVE IN TANZANIA TO BE OUR LEADER....AMEN.

Alifikiri kujisifia kuwa kafanya kazi UN ingekuwa turufu yake ya kumpeleka no 1,kumbe ndiyo alikuwa anajimaliza
 
Mhh rekodi ya kutumikia UN kwa mtazamo wako waiona haitoshi?! Mkuu hiyo yamaanisha ana rekodi inayong'ara hata nje ya mipaka yetu!! Dr. Migiro you vzr sana, namtabiria uwaziri mkuu!!

Hivi huko UN alifukuzwa au ali staafu?
 
Dnt get sucked into the 'woman president drama' ..make ur judgements viewing her as a person first and what she has done for the country.
..swala la kua mwanamke bdae..Hzo ni cv tu,,for the past ten years she has been mostly out of the country,, during tht tym also ther r ppo who engineered the country to what it is today...
 
Back
Top Bottom