Mkurungezi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta' Asha Baraka amemuonya msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond' kutojaribu kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya na kusema akijaribu atapotea. ASHA BARAKA AMUONYA DIAMOND KWA UNGA - Global Publishers