mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,726
Haihitaji akili ya juu sana kwa kile ambacho Asr8 watakipata chini ya vijana hatari sana ambao hawajawahi kutokea katika sayari hii ya dunia nazungumzia safu ya MSN(Messi,Neymar na Lous Suarez) yote na kikosi chote cha kocha mwenye mafanikio zaidi Barcelona ndani ya muda mfupi ni Louis Enrique
Mimi kwa uzoefu wangu wa football nafanya calculations nafuta naanza tena ,bado naona Asernal wanapigwa si chini ya goli 6-8 on aggregrate ,mbaya zaidi nikiingalia safu ya ulinzi ya Barcelona yaani Pique Gerald,macherano,Jord Alba,Dan Alves ,Midfielders Andrew Ineasta,Ivan Rakitic ,Sergio Basques ,sioni Asernal watakapotokea ambao wanakikosi cha vijana wa fom six
Darubini yako watakachokipata Asernal match ya nyumbani kesho 23=02-16 na match ya marudio wanastahili ila ni ngumu sisimizi kumuua tembo
Historia ya mpira ya miaka ya karibuni inaonyesha wote wanaocheza football style ya Barcelona ukikutana nao ni kipigo tu