Usiniambie Mimi habari za asenga,eti umlinganishe na upendo? Asenga ni mweupe mno kichwaniUsiku wa jana kulikua na mahojiano katika kipindi cha Kuelekea 2015 startv, mahojiano yalikua kati ya Abubakari Asenga mjumbe wa mkutano mkuu Uvccm taifa na Angalieni mpendu upande wa Dar, Upande wa Mwanza alikuepo bibie Upendo Peneza, mjumbe wa mkutano mkuu Bawacha taifa na mtangazaji Dotto Bulendu.Kila moja aliulizwa kutoa maana halisi ya falsafa ya chama chake, Kila moja alijaribu kadri alivyoweza. Kati ya hawa wanasiasa chipukizi nani kaonesha umahiri wa hali ya juu? Nani ni hazina yetu ya taifa la kesho?
Usiniambie Mimi habari za asenga,eti umlinganishe na upendo? Asenga ni mweupe mno kichwani
Sijui kwanini uvccm wanaamua kumwacha akawawakilishe huku wakijua anaenda kupambana kwa hoja. Wakati mwingine huwa namhurumia,hajitambui jamaa.
Hili siyo la muhimu kwa sasa, ungetuacha kwanza tutafakari wizi wa ESCROW.
Upendo ni Jembe sana, Jana kuna kitu nilikuwa sikielewi ila kwa ufafanuzi mzuri wa Kamanda Upendo Peneza kwa kweli nimeelewa.
Asenga sikumwelewa kabisa, anasema eti Kwa ss tuna Modern socialism sasa ndo ipi hiyo?