Asenga vs Upendo Peneza nani jembe?

Asenga vs Upendo Peneza nani jembe?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Usiku wa jana kulikua na mahojiano katika kipindi cha Kuelekea 2015 startv, mahojiano yalikua kati ya Abubakari Asenga mjumbe wa mkutano mkuu Uvccm taifa na Angalieni mpendu upande wa Dar, Upande wa Mwanza alikuepo bibie Upendo Peneza, mjumbe wa mkutano mkuu Bawacha taifa na mtangazaji Dotto Bulendu.Kila moja aliulizwa kutoa maana halisi ya falsafa ya chama chake, Kila moja alijaribu kadri alivyoweza. Kati ya hawa wanasiasa chipukizi nani kaonesha umahiri wa hali ya juu? Nani ni hazina yetu ya taifa la kesho?
 
Usiniambie Mimi habari za asenga,eti umlinganishe na upendo? Asenga ni mweupe mno kichwani
Sijui kwanini uvccm wanaamua kumwacha akawawakilishe huku wakijua anaenda kupambana kwa hoja. Wakati mwingine huwa namhurumia,hajitambui jamaa.
 
kwenye kashafa hii wameshindwa kutuhamisha mawazo yetu. kwahiyo subiri kwanza ripoti ikisomwa ntakuja kukujibu.
 
Usiniambie Mimi habari za asenga,eti umlinganishe na upendo? Asenga ni mweupe mno kichwani
Sijui kwanini uvccm wanaamua kumwacha akawawakilishe huku wakijua anaenda kupambana kwa hoja. Wakati mwingine huwa namhurumia,hajitambui jamaa.

Atasingizia midahalo haiwezi kwa sasa kwani bado anaomboleza kifo cha Betty Ndenjembi

cc Asenga wa Pakaya
 
Last edited by a moderator:
Hili siyo la muhimu kwa sasa, ungetuacha kwanza tutafakari wizi wa ESCROW.

Hilo lisikupe pressure mkuu! Tayari PAC wanayo report mikononi, Lakini ikisomwa tofauti na mategemeo yako itakueje?Tuwape muda kina zito wafanye analysis japo ilisikika yeye Zz naye alihusishwa.
 
Asenga ali disco course nyepesi chuoni(sociology) atasimama na upendo? Masihara hayo back to escrow tusihamishwe kwenye mjadala wa kitaifa
 
Hahaaa jamaaa anasema modern socialism....kweli ukibanwa unakuwa huna pakutokea unaibua vitu ambavyo havipo. Vijana tunapenda kujifanya wajuaji kumbe vilaza wa kutupwa. Upendo yuko juu sanaaaa
 
Asenga ali disco course nyepesi chuoni(sociology) atasimama na upendo? Masihara hayo back to escrow tusihamishwe kwenye mjadala wa kitaifa

Aaah bhana! Labda alikua bize na siasa.
 
Upendo ni Jembe sana, Jana kuna kitu nilikuwa sikielewi ila kwa ufafanuzi mzuri wa Kamanda Upendo Peneza kwa kweli nimeelewa.

Asenga sikumwelewa kabisa, anasema eti Kwa ss tuna Modern socialism sasa ndo ipi hiyo?
 
Modern Socialism? What on earth is that animal? Did he give the the principles on which it is anchored?

Who are the pro-founders of that philosophy If I may call it so? Where did they copy it from?

And when did they start its implementation?
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom