AseeLindi ni kijijini wazee

Ujiji
Lindi ni sawa na Bagamoyo, Tabora, Ujiji, Zanzibar, Pemba, Tanga. Uislam na umwinyi umekuharibu mno, mtu anaona ufahari kushinda kavaa shuka tu akizunguka mitaani kusengenyana, hana kabisa wazo la kutafuta ama kufanya kazi.
Ujiji ni zaidi ya Lindi pa kijinga sana
 
Mkuu ulikua bweni gani? Mwongozo? Fidel Castro? Utawala Bora, etc. Unanikumbusha mbali sana.... Kila siku jioni kwenda beach
 
Yaani, ikitokea advance amepigwa kiboko hata kimoja basi utachekwa na kudharaulika miaka yote. Mambo yamebadilika, siku hizi hata kwenda beach ni kwa ruhusa......viboko kama vyote.
Ooh kumbe. Sisi paredi tulikua hatuendi, darasani pia ukipenda. Ni miaka mingi kidogo. Nilimaliza pale 19 years ago.
 
Wewe unaizungumzia lindi gani?

Huwezi kusema lindi ndogo wakati Lindi ni miongoni mwa mikoa mikubwa kwa neo hapa Tanzania

Wewe umeenda Lindi sekondari halafu unajifanya unaijua Lindi

Halafu ukisema Lindi ni Chaka inategemea unafanisha na wapi, Kuna mikoa ipo Chaka bora ya mkoa wa Lindi
 
Lindi ni sawa na Bagamoyo, Tabora, Ujiji, Zanzibar, Pemba, Tanga. Uislam na umwinyi umekuharibu mno, mtu anaona ufahari kushinda kavaa shuka tu akizunguka mitaani kusengenyana, hana kabisa wazo la kutafuta ama kufanya kazi.
Dodoma kakuharibu nani?

Maana ukiachana na pale mjini mkoa wote wa hovyo

Kule Kuna waislamu wengi??
 
Lindi ni kijiji mzee nimeishi miaka 5
 
Lindi ni ndogo sana, maeneo mengine ni pori na bahari
Lindi unazungumzia Lindi unayoisema, RUANGWA, Nachingwea, Liwale,

Hata Tabora ambao ni mkoa mkubwa Tanzania ni pori kwa sehemu kubwa

Unatoka Tabora mjini unaenda katavi, unaonaje ule msitu mkubwa
Hamna mkoa mkubwa uliokuwa hauna mapori

Pwani yenyewe tu ina mapori kibao ambao ndio mkoa umepakana na mjini DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…