comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,200
- 16,404
ni jambo la kusikitisha sanaMzee baba, kwani ulimkuta sealed (virgin). Kama golori zako ndo ziliact kama brakes, basi hupaswi kushangaa
sawasawa mzee kilomoniNimecheka kwa nguvu aisee Kama FALA
Ha ha ha haaaa. Huyo analijua geto la mshkaji kuliko wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mseee wangu, mimi ndimi.
eeebana juzi kati hapa nilikua na shemeji yenu mmoja hivi, nikaona nimpeleke kwenye nyumba ya mwanangu mmoja hivi maana kwangu kulikua na wageni, na mimi sio mpenzi wa kwenda gest hovyo.
bila hiyana, ikabidi tusogee mtaa wa pili kwenye nyumba ya mshkaji ambae alikua ametoka kidogo, so akaniambia nipige tuu shoo bila tatizo aseee.
aseeeeee! wakati tupo ndani kwa mshkaji pale naendelea kupiga show kwa ubunifu na ufundi wa hali ya juuu,
mara dogo ananiambia oooh! "Jamani baby fanya taratibu hizi chaga hua zinaangukaga!"
duuuh!!! hii ni sawa kweli au mimi na kichwa changu kibovu ndio nimeelewa vibaya.
aseeee!
aseee mpaka mzuka ukakataHa ha ha haaaa. Huyo analijua geto la mshkaji kuliko wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lazima mzuka ukate aisee. Basi hapo ukawa unamfikiria best yako jinsi naye alivokuwa akimhemea huyo beibe... Aisee mapenzi kizungu zunguaseee mpaka mzuka ukakata
Unajua suala la kwamba demu aliwahi kufanya mapenzi sio ishu, ishu Ni yule aliyefanya naeaseee mpaka mzuka ukakata
duuuh! kama ulikuepo, kuwaza hivyo ni lazimaLazima mzuka ukate aisee. Basi hapo ukawa unamfikiria best yako jinsi naye alivokuwa akimhemea huyo beibe... Aisee mapenzi kizungu zungu
hilo ndilo swalaUnajua suala la kwamba demu aliwahi kufanya mapenzi sio ishu, ishu Ni yule aliyefanya nae
kivipi, sijakuelewaChai
Hapa bwanA fanya yafuatayo.hilo ndilo swala
Anamaanisha ni habari ya UONGO/KUTUNGAkivipi, sijakuelewa
ni wakupita tuuHapa bwanA fanya yafuatayo.
Kama Ni Dem wa kupita tu yaani ORDINARY Basi kausha.
Kama Ni Dem daraja la Kati yaani SEMI LUXURI ambaye Ni Dem endelevu, Basi fanya upelelezi.
Lakini Kama Ni mke mtarajiwa LUXURY. Basi PIGA CHINI TAFTA MWINGINE.
MAwazo yangu tu yenye Moshi wa ganja kwambaaaaali.
hayupo sawaAnamaanisha ni habari ya UONGO/KUTUNGA
kwamba amekizoea kitanda msee wanguHakuna cha kushangaa, kwani chagall hazidoki..?