Asee imebidi nije mbimbio kwanza MMU kupata ushauri

Asee imebidi nije mbimbio kwanza MMU kupata ushauri

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
723
Reaction score
570
Wakuu Nawasalimu...

Ama Baada Ya Salamu Niende Kwenye Swali...

Hivii Linapokuja Suala La Kuniuliza Ma'MIAKA Na Msichana Ambaye Umepata Namba Yake Humu JF Mfano Au MtandaO Mwingine Wa Kijamii...,

Nini Cha Kwanza Unatakiwa Kufanya???

Na Baada Ya Hapo Unafikiri Nini Kitatokea???
 
Kwani miaka yako huijui hadi ushindwe kujibu swali jepesi hivyo?
 
Wakuu Nawasalimu...

Ama Baada Ya Salamu Niende Kwenye Swali...

Hivii Linapokuja Suala La Kuulizana Ma'MIAKA Na Msichana Ambaye Umepata Namba Yake Humu JF Mfano Au MtandaO Mwingine Wa Kijamii...,

Nini Cha Kwanza Unatakiwa Kufanya???

Na Baada Ya Hapo Unafikiri Nini Kitatokea???
mkuu umri utakusaidia nn sasa?? we muombe picha kwanza baada ya hapo utajua kama anakufaa au hakufai.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani miaka yako huijui hadi ushindwe kujibu swali jepesi hivyo?

Sawa Naijua... Lakini Nataka Kufahamu Mapema Itakua Na Impact Gani Baada Ya Kumwambia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom