Asasi za kiraia zasimama kidete kupigania uwazi katika masuala ya mafuta na gesi

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
MASUALA ya Uwazi katika Shughuli za Uchimbaji Rasilimali hususan madini, mafuta na gesi asilia yameendelea kuhamasishwa na wadau mbalimbali zikiwemo asasi za kiraia.

Kama ilivyoripotiwa na FikraPevu katika makala zilizotangulia, wadau wengi katika sekta hiyo wamekuwa wakihamasisha kwa kuikumbusha serikali na kampuni za uwekezaji kuweka wazi mikatapa pamoja na mapato ili wananchi waweze kufahamu nini kinachoendelea kwenye rasilimali zao.

Soma zaidi hapa=> Asasi za kiraia zasimama kidete kupigania uwazi katika masuala ya mafuta na gesi | Fikra Pevu
 
Hao nao wachovu wamekazania gesi na mafuta kwa maoni yangu ni mikataba yote ya mali za asili
 
Huku tunaibiwa sana harafu tupo kimya ndio maana wameleta VAT kwa kutunziwa fedha zako benki ambazo umezipata kwa kulipia kodi...
 
Back
Top Bottom