Ujinga ujinga tu wa kipuuzi Mapadrii wana familia hawaoi hawana familia na wao wanaonekana wa ajabu na sio wa maana katika jamii? Kabla ya kuropoka tuliza ubongo fala wewe kuna maisha ya useja mabayo wewe hauyajui sio kila mwanaume awe na familia wengine hawana huo muda.