Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,697
- 272,570
Sijui nitumie lugha gani inayoweza kutosha kuitumia kutoa shukrani kwenu, hakika Mungu atawalipa, kwa ufupi itoshe tu kusema asante, shukrani pia ziwaendee viongozi wote wa CHADEMA Kyela, wana UKAWA wote wa Kyela kwa kazi kubwa ya kueneza mabadiliko na kuhakikisha CCM na makandokando yake vinakataliwa Kyela, mmetuahidi ubunge, Urais na kama haitoshi mmetuongeza na udiwani, hakika Mungu atawalipa.