Asanteni wana arusha

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,631
Nawashukuru sana wana Arusha kwa kunipokea, kunikirim na kunitembeza sehemu mbalimbali. Mmeniwezesha kutalii wilaya 3 ambazo ni Longido, Monduli na Ngorongoro. Kweli nimefarijika sana kwa ziara ya siku kadhaa sasa niko njiani narejea Arusha mjini tokea Monduli ili nirudi zangu maskani. Natarajia kufika mjini mida ya saa kumi jioni. Kwa mara nyingine nasema asanteni sana kwa ukarimu wenu.
 
Back
Top Bottom