Asanteni sana!

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Wote mlioitikia mwaliko na kufika viwanja vya vatcan village igoma mwanza siku ya jumapili tarehe 16/12/2012 ili kumpongeza binti yangu mpendwa akanganyila nawashukuruni sana!

Shukrani hizi ni kutoka kwa familia ya tutor b
 
pamoja mkuu...JF mbele daima, nyuma mwiko!
 
pamoja mkuu...JF mbele daima, nyuma mwiko!

Ahsante mkuu! kumbe JF ni kijamii zaidi, kuna mdada mmoja rafiki yake wife alifika ili kujua kama kweli sherehe ipo; alipofika wife akawa anamwomba msamaha kwa kuwa hakuwa amemtaarifu, yeye akasema kuwa kuna mtu kwenye mtandao alialika wana JF sijui ndo mumeo .... ilikuwa raha sana.
 

yup kaka hata mimi nakumbuka bandiko lako la mwaliko ila ndio tupo huku "Bandari ya Salama".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…