Asanteni sana wana JF hasa wanaume kwa ushauri

Ukitaka kuwateka wanaume wa humu rahisi sana ,,natamani usalama wa taifa wangenipa hiyo kazi
Sio Madume wote mayai mayai. Na watu wa kitengo wanatutembelea sana humu. Kuna mmoja alikuja anatafuta Mume.. nilimfanyia uchunguzi hadi nikajua ni nani na ana ndoa pia ni mtu wa kitengo.

Walioenda kichwa kichwa kilichowapata wanajua wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…