Asanteni Sana kwa ushauri wenu.

Asanteni Sana kwa ushauri wenu.

siyo mchezo!kasha pigwa chin kavimba juu[emoji23]
Usijali mama. Humu kuna kila aina ya watu ni sawa na mkoa wenu. Kwahiyo usijali wachache wakikuuzi. Cha msingi ni KUCHUKUA KILE KIZURI TU.
Ubarikiwe sana. HAYA YOTE YATAKWISHA. MUNGU AWE PAMOJA NAWE
nawewe unapenda kupendwa! nimekupenda ghafla!
Asante mkuu nimeipitia
Amen dada
amekuwa mama kijacho hahahahah
Usijali, karibu tena
Ukipata muda pitia pm yako nimekutumia makala itakusaidia pakubwa
Mimi sikufuati PM, natak unifuate wewe.

Tutatangaza ndoa yetu humu.

Karibu.
Asante kwa kushukuru
Amina mama
Karibu tena
Kwa nini huu uzi hauunganishwi? Hiyo asante si ungetoa kwenye uzi ule ule?
Unatujazia Server zetu
embu njoo tu huku upunguze matatizo

1. Story: Money Penny ni nani lakini?!

2. USHAURI: UKIMTUKANA MTU SASA HIVI JELA MIEZI 6...
 
Back
Top Bottom