Hapo kwenye watu weka na neno wanafunzi/watotoAsante TRC kwa kazio nzuri ya kusomba watu.
TRC ilikuwa na kazi ya kuleta wanafunzi na watoto siku nzima ili kuijaza Morogoro watu wajae.Hapo kwenye watu weka na neno wanafunzi/watoto
October ifike tu kieleweke!
Hapo kwenye watu weka na neno wanafunzi/watoto
Wameshasombana tayariiiMapema leo na wananchi Dakawa na Dumila mkoani Morogoro, Mgombea wa CCM Dkt Samia akiwa njiani kuelekea Kilosa.
Zaidi ya shilingi trilioni 3 zimetumika Morogoro katika kipindi cha miaka minne kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo hospitali mpya za wilaya 7, vituo vya afya vipya 33, zahanati mpya 82 na shule mpya za msingi na sekondari zaidi ya 150.
Kazi hizi zimeleta ahueni kubwa kwenye maisha ya wananchi na hali njema inaonekana kila tunapopita katika kampeni. Tunaamini bila shaka yoyote kuwa wananchi wa Morogoro watakipa tena Chama Cha Mapinduzi (CCM) ridhaa ya kuendelea kuongoza nchi yetu, ili kuwahudumia kwa ufanisi zaidi
#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
View attachment 3459529
kipofu haoniSioni kiongozi ndani ya ya samia
Nasikia Kilosa haimdai Mother.Mapema leo na wananchi Dakawa na Dumila mkoani Morogoro, Mgombea wa CCM Dkt Samia akiwa njiani kuelekea Kilosa.
Zaidi ya shilingi trilioni 3 zimetumika Morogoro katika kipindi cha miaka minne kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo hospitali mpya za wilaya 7, vituo vya afya vipya 33, zahanati mpya 82 na shule mpya za msingi na sekondari zaidi ya 150.
Kazi hizi zimeleta ahueni kubwa kwenye maisha ya wananchi na hali njema inaonekana kila tunapopita katika kampeni. Tunaamini bila shaka yoyote kuwa wananchi wa Morogoro watakipa tena Chama Cha Mapinduzi (CCM) ridhaa ya kuendelea kuongoza nchi yetu, ili kuwahudumia kwa ufanisi zaidi
#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
View attachment 3459529
Ndio tunasubir octobertutiki✅Nasikia Kilosa haimdai Mother.
Ugandan gay man in the US furiously reacts after being denied entry at an Ugandan community event, leaving him deeply disappointed.Mapema leo na wananchi Dakawa na Dumila mkoani Morogoro, Mgombea wa CCM Dkt Samia akiwa njiani kuelekea Kilosa.
Zaidi ya shilingi trilioni 3 zimetumika Morogoro katika kipindi cha miaka minne kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo hospitali mpya za wilaya 7, vituo vya afya vipya 33, zahanati mpya 82 na shule mpya za msingi na sekondari zaidi ya 150.
Kazi hizi zimeleta ahueni kubwa kwenye maisha ya wananchi na hali njema inaonekana kila tunapopita katika kampeni. Tunaamini bila shaka yoyote kuwa wananchi wa Morogoro watakipa tena Chama Cha Mapinduzi (CCM) ridhaa ya kuendelea kuongoza nchi yetu, ili kuwahudumia kwa ufanisi zaidi
#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
View attachment 3459529
Asante TRC kwa kazio nzuri ya kusomba watu. Hakuna Mabuss
Atasikiakipofu haoni
Kiongozi wapo wengi mnoo na wenye uwelediSioni kiongozi ndani ya ya samia
Ujinga mtupu!Mapema leo na wananchi Dakawa na Dumila mkoani Morogoro, Mgombea wa CCM Dkt Samia akiwa njiani kuelekea Kilosa.