Abel james naomba link ya thread ya kwanza, nahisi nilipitwa..lol.
tuandamane elli part two bila one hainogi
Ngoja nikupe samare. Part one alikuwa hivi..... Alipata mchumba hum jf sasa akawa anachat kwa meseji tu akisema ampigie simu asikie sauti yake bibie hataki. Ila huyu mtoa mada akikohoa tu anajazwa mihela ila ndo hivyo bibie hataki sauti yake isikike
anhaaaa ahsante nimekupata so wameonana ndo akamkimbia hahaha
asanten sana wana jf kwa ushauri wenu,kiukwel niliamua kukutana na huyo mtu sehem ya waz stendi bila kumwambia nimevaaje na yeye akanielekeza kavaaje,kiukwel ni mwanamke mke wa mtu,ana gari na ni tajiri,baada ya kumuona nilizima sm na nkakimbia,na nimemtumia sms kuwa simtaki,jaman kuwen makini,majimama watatumaliza vijana
tuandamane elli part two bila one hainogi
Ulijuaje kama mke wa mtu?