Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
Nimekua katika mahusiano na mkaka mmoja for a while now...
Kama mwaka,honestly speaking at first wakati tunaanza kujuana,sikua na nia nae kabisa..yaani hakua love at first sight,bt since nilikua single nikaamua tu kua nae...as days go by nikajifunza kupenda...kiukweli I regret,coz nilimpenda kupita Maelezo.
This guy has always been busy aisee...yupo dar nipo dar bt kuonana miezi inapita...at first nilijua ni ubusy wa kawaida tu coz as u know guys around 27 to 30 ndo maisha yanajengeka...ok Lt me go to the point now..
Kuna siku nipo home tu..kuna mtu akanitxt kupitia WhatsApp,kumuuliza Nani hanipi jibu straight so I decided hii dial niisave siku akiweka picha ntaona!sasa bwana siku ya birthday ya mchumba ikafika,si mnajua tena WhatsApp mara mpenzi awekwe na kawish Kwa chini..
I was just passing through my dials nikaona baby kawekwa na status juu happy birthday my sweetheart.. Kwenye ile namba iliyokua inanisumbua,I didn't waste time nikachukua ile namba...called it kupitia simu nyingine
Conversations ikawa hivi
Mimi: hello mambo
Yeye: Poa Nani
Mimi: Sorry nimeokota simu Ubungo ya mtu inaishia na namba 42 kakusave sweetheart nimeona nikupigia uje ufuate simu coz nimeona ww ni mtu wake ya karibu.
Yeye: Yah ni mume wangu
Trust me hakuna anayetaka kusikia this words..honestly niliumia Sana..n thought to myself.,y did I even learn to love this guy..one thing I have learnt,mwanaume akiwa busy kupita Maelezo kuna something behind..aisee nyie wanaume mnaumiza Sana.
Hvi kwanin mnakua hamna huruma, unamdanganya mtu mpka anakubali kukuweka moyoni n at the end of the day unajua kabsa hutokua nae!