Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
-
- #21
ni kweli alikua na matatizo
so usiogope sema neno amu!!
Dunia ina mambo na vijambo!wachangiaji wa JF raha tupu!
Mimi dawa sitoi ila ukitaka nikuelekeze kwa mtoa dawa ni lazima wewe na mwenzio unionyeshe kwamba mna uwezo wa kuzaa ili kuepuka lawama,kuna watu wanakuwa na matatizo ya uzazi kisha huwaficha wenzi wao.Sitaki lawama ndio maana nimeweka sharti hilo.Mimi nina kazi yangu na sijui dawa ila ukitaka udhibitisho nilivyoangaika mke wangu kupata upo.
Kama utaweza kumfikia sawa tu ila ukipitia kwangu ni lazima unionye hivyo vitu ili kuepuka lawama,isije ikawa wewe ni mgumba alafu ukanipa lawama eti mimi ni tapeliHuyo mtaalamu amekwambia hataki wangonjwa waende kwake moja kwa moja? Mpaka wewe uwafanyie usaili?
Kama utaweza kumfikia sawa tu ila ukipitia kwangu ni lazima unionye hivyo vitu ili kuepuka lawama,isije ikawa wewe ni mgumba alafu ukanipa lawama eti mimi ni tapeli
kumbe wewe ndio mgumba.napenda kueshiwa.mimi nina kazi yangu.
Acha usanii,yaani ushakuwa ndundami wa mganga?;kwa hiyo unarejista vyeti wewe halafu ndo
uruhusu mganga atoe dawa? Au vipi cjaelewaelewa hapo.;we sema tu mi ndo mganga na nataka msaada
kutoka kwa madaktari wa hospitali wanianzishie uhakika.
tuko pamojasijui kwa nini nakuwa mzitooooo hii imekaaa kisanisani zaidi
Hongera....promo nzuri kweli
Amu uwe mzito zaidi ya hapo lakini mimi sio msanii,mke wangu yupo mimba anayo na vyeti vya hosp nilivyoangaika navyo vipo.ukiamini sawa usipoamini sawa,hulazimishwi wala hubembelezwi.tuko pamoja
Naona umekazania kusema una kazi yako...!! Lol
Mimi nataka kuonana na mtaalamu moja kwa moja, vyeti vyangu nataka akavione yeye sio wewe..!
Weka namba yake ya simu sasa..!!
Amu mimi ni mtu msomi,nafanya kazi nzuri na malipo mazuri.Sitaki hata mia yako ila kama una mkeo ana matatizo mlete alafu nitakuelekeza kwa huyo mtoa dawa ila kabla sijakupeleka nitataka udhibitisho kutoka kwa doctor kwamba una uwezo wa kuzaa.wana ndoa wengi sio wakweli,mtu anajua hana kizazi alafu anasumbua kwa kuwapa watu lawama ili kuficha matatizo yake.
Kwani ugomvi!Amu uwe mzito zaidi ya hapo lakini mimi sio msanii,mke wangu yupo mimba anayo na vyeti vya hosp nilivyoangaika navyo vipo.ukiamini sawa usipoamini sawa,hulazimishwi wala hubembelezwi.
Habari zenu!!
Kama mtakumbuka nili post miezi minne iliopita kwamba mke wangu hazai kutokana na sindano za majira alizochoma.Niliangaika sana katika Hospitali mbalimbali kama Kariuki,mhimbili na Amana bila mafanikio.Humu jamii kuna baadhi ya watu walinishauri niende kwa watu wanaotoa dawa za miti shamba,kwa kweli nilikuwa nikiwadharau sana watu hawa kutokana na kwamba kuna baadhi yao nilishaenda kwao bila mafanikio japo kwenye Tv na maredio walijitangaza sana kwamba wanaweza.Nilifikia hatua kwamba nimwache mke wangu lakini nilikumbuka tulikotoka nikaona hilo jambo ni gumu sana ikabidi niangaike zaidi,namshuru Mungu nilimpata mtu mwenye dawa za miti shamba alimpa mke wangu dawa akamwambia atashika mimba ndani ya mwezi wa kunywa dawa au mwezi utakaofwata,Namshukuru Mungu mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja kwa sasa,Huyu mtu alienipa dawa si mganga wa kienyeji na hapigi ramli anachotoa ni dawa tu tena anaichemsha.Napenda niwaambie watu ambao wako katika ndoa na hawajapata mtoto na wanahitaji wasisite kuwasiliana na mimi ila uwe umeshaenda kwa madaktari bingwa wewe na mwenzi wako na ikathibitika kwamba wote mna uwezo wa kuzaa ila hamjazaa,tena mje na cheti wote wawili kutoka kwa daktari kuonyesha wote ni wazima.Kama mke alichoma sindano,vidonge au vijiti au chango asisite kuniona,kumbuka hamna ramli.Namba yangu ya simu ni 0784 942744. Kama hutakuja na cheti cha daktari kuonyesha una uwezo wa kuzaa naomba usinitafute kwa maana sitakusaidia.
Aiseee network error
mjini mipango
DAWA SITOI MIMI ILA NITAKUELEKEZA KWA MTOA DAWA ILA KABLA YA KUKUELEKEZA ITABIDI MNITHIBITISHIE KWAMBA MNA UWEZO WA KUZAA YAANI UWE UMEPITIA KWA DOCTOR KUMBUKENI KUNA WAGUMBA WA KIKE NA KIUME NA WENGINE HUFICHA NA KUPENDA KUWALAUMU WATU ILI KUFICHA MADHAIFU YAO.SIKULAZIMISHI WALA KUKUBEMBELEZA bila cheti usije.
Kwani ugomvi!
mkeo mjamzito!
shida iko wapi?
Au kwa kuwa nimesahau kukupa hongera?
Hongera kaka, na kila la kheri.
Baada ya kupata msaada sasa kaanza kutekeleza masharti ya mganga!Ninaomba uniweke sawa
1. unasema ulikwenda kwa mtu akakupa dawa.
2. alikwambia mkeo atapata mimba within a month
3. unasema mtu mwenye tatizo aje kwako!!!!!!!!
4. awe na cheti cha Daktari.. vinginevyo huta msaidia!!!!
Sasa wewe ndio unatoa dawa? au utampeleka huko ulikokwenda wewe?
Hlf hii namba ni yako au ya huyo aliekusaidia?
Samahani kwa maswali.. ninahitaji tu kujiridhisha nami ni mwana jamii.. maana pale Mbuyuni siku hizi matangazo ya waganga wa tiba za jadi yameondoshwa sasa nasi tusiwe tunatangaziwa KIAINA