Asante tigo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa upo mwaka wa mwisho ww
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa upo mwaka wa mwisho ww
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wanazingua hawa cjui manji nae kahamua kutukomesha na yeye
 
Hivi SMS 15000 kuna watu wanazimaliza kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hiki kitu nimetoka kukifikiri Jana.

Jiulize, siku hizi hizo line za chuo zinauzwa mtaani, tena hata kwa wasio wana chuo, means itafika kipindi kila mtu atakuwa nayo, na hapo ndipo utakapokuwa mwisho wa offer.

Mimi labda niwashauri Tigo, badala ya kuita line za chuo au sijuhi university extreme, now waite tuu line za offer... Full stop...

Au ikiwezekana watangaze kuwa ili kupata hiyo offer, jiunge kwa kulipia hiyo buku tatu... Na sio mambo ya kuanzia usajili kwa ajili ya kupata hiyo offer..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…