Explainer
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 517
- 506
Nashukuru kwa jinsi mtandao wetu pendwa wa TIGO kuendelea kunitesa na kuninyanyasa kisaikolojia dhidi ya pesa yangu. Sioni umuhimu wa kuwa na kitengo cha huduma kwa wateja na ikiwa hamshugulikii matatizo yetu.
Najua itakuwa ngumu kueleweka hapa ila wahusika wazingatie hili, ikiwa wewe ni mtoa huduma sehemu fulani ni sharti ufanye vile kazi yako unatakiwa kufanya na sio kututesa na kuwasumbua watu kwa kuwa unaamini hawawezi kukuwajibisha.
Si vyema ndugu zangu, TIGO huduma kwa wateja, mjirekebishe.