Asante smartphone

Asante smartphone

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,353
Da wakuu sikujua kumbe Kuna namna ya kushare internet kupitia smartphone na desktop yako, na ukafurahia namna mchina anavyoturahishia Maisha. Hii ni njia rahisi Sana Tena Bila kupitia Bluetooth na wireless card.
 
Mtoa thread kwa ishu kamaa hii hukupaswa kuanzisha ya kujishusha kiasi hicho.
Zaidi ungetengeneza thread sasa ya nini cha kufanya ili mtumiaji apate hiyo huduma.
Si unaona sasa maswali yamekuwa mengi.
 
Mkuu Watanzania Kwa maswali wamebobea ndo maana hata yule mtu wa Mbeya aliyeishukuru serikali Kwa kupeleka kupatwa Kwa jua huko Mbeya hii kitu imezua maswali mengi Sana.
 
Teheteheheeee...
Hapa jamaa ulitakiwa utoe darasa japo zilishapita nyuzi nyingi kuhusu hiyo ishu.
 
Mkuu unaweza wa kutumia smartphone ambayo haijapita mikononi wa wachini? Asilimia kubwa ya Watanzania tunaijua smartphone kupitia hawa watu.
yap zipo za vietnam, india, mexico, brazil etc. na kazi yao wachina ni kupachika tu, technology zinagunduliwa kwengine na kuwa manufactured na kampuni kama samsung, intel, TSMC na global foundry halafu zinaenda viwanda vya kupachikia kama Foxconn china ili viekwe pamoja na kuwa simu au laptop au device nyengine.

hata Tanzania tukiamua kuwa wapachikaji tunaweza, maana haihitaji ujuzi mkubwa, uwe tu na watu wa kutosha ambao wapo tayari kufanya kazi zaidi ya masaa 8 na kupokea mishahara midogo
 
Una fanyaje au unatumia usb
Mwenzio kashtuka disko limeisha ila wewe milango inafungwa bado umelala unachotakiwa kufanya ni kuwasha hotspot kwenye Simu yako then washa WiFi kwenye PC halafu connect wengine modem tulizitupa miaka ya 90
 
yap zipo za vietnam, india, mexico, brazil etc. na kazi yao wachina ni kupachika tu, technology zinagunduliwa kwengine na kuwa manufactured na kampuni kama samsung, intel, TSMC na global foundry halafu zinaenda viwanda vya kupachikia kama Foxconn china ili viekwe pamoja na kuwa simu au laptop au device nyengine.

hata Tanzania tukiamua kuwa wapachikaji tunaweza, maana haihitaji ujuzi mkubwa, uwe tu na watu wa kutosha ambao wapo tayari kufanya kazi zaidi ya masaa 8 na kupokea mishahara midogo
Kama ishu ya Mwendokasi inatutoa povu, tutaweza kuaseamble smartphone phone mkuu?
 
Asante kwa taarifa japo wengi humo wanaijua hiyo tech zamani
 
Back
Top Bottom