Magufuli ndie rais alieitendea haki Tanzania baada ya mwalimu
Nina penda tumia muda huu kukushukuru Mzee wangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya watu watanzania kwa safari ndefu ya miaka mitano kutuongoza wa Tanzania hasa ktk kipindi kigumu chakubadilisha fikra za watanzania nakutufanya kufanya kazi kwa bidii na kutopenda kuwa omba omba. Hii haikuwa Rahisi na kamwe haitokuwa rahisi kwa awaye yote.
...
Umefanya mambo mazuri mengi ila usisahau kutengeneza akina Magufuli wengi. Marekani ina marais zaid ya arobain na tati laikin wanao kumbukwa hawazidi watano hivyo sio bure na wewe ukaingia ktk historia za taifa hili kwa kuwa Rais ulie thubutu na ukafanikiwa.
Damu ya Saanane inamtesa sanaYani ukisikia watu vuguvugu ambao si moto si baridi ni wewe TumainiEl huwa hueleweki umesimamia nini.
Mimi nilijua ni yale machizi ya matanga, kumbe ni kiumbe huyo ambaye yeye ni timamu lakini njaa ndiyo inamtesa na kumtoa ufahamu. Kamwe mtu kama yeye hawezi hongerea 1.5 trYani ukisikia watu vuguvugu ambao si moto si baridi ni wewe TumainiEl huwa hueleweki umesimamia nini.
Sky EclatUtawala wa Rais John Pombe Magufuli umetufundisha umuhimu wa freedom of expression and human rights kwa vitendo.
Yeye sio pinga pinga kama weweYani ukisikia watu vuguvugu ambao si moto si baridi ni wewe TumainiEl huwa hueleweki umesimamia nini.
Sky EclatUtawala wa Rais John Pombe Magufuli umetufundisha umuhimu wa freedom of expression and human rights kwa vitendo.
Mkuu, sio kwamba kipo kifaa Mbele yake ambacho Pengine Sisi hatukioni tu,Ni mtu wa aina pekee kwani amejaliwa vipaji vingi sana. Leo ananishangaza kuhutubia Bunge bila kusoma na kwa takwimu.
Hayo hayatakuletea maendeleo!Utawala wa Rais John Pombe Magufuli umetufundisha umuhimu wa freedom of expression and human rights kwa vitendo.
Mkuu, hivi ni visingizio tu vya watu wasioelewa nini watakacho!Sky Eclat
Naomba nikuuliza..
Ni nini makusudio ya neno Uhuru(Freedom Of Expr....)?!!!
Unit aliyoitengeneza Mwalimu huwezi kulinganisha na any material things hapa Tanzania.Hata Mwl hafikii kasi ya Dr Magufuli
Nasikiliza Hotuba ya Rais wangu
Hii ni hotuba bora zaid ya Rais wangu, facts tupu, Allah ampe Rais wetu Afya njema
Hotuba hii ni Hotuba bora zaid kuwahi kutolewa, nafananisha na hotuba Ya Rais Kikwete ya Bunge la Katiba na ile aliyoitoa kwny Msiba wa Mandela
Kumshindanisha Rais Magufuli na Walevi kwny Uchaguzi Mkuu ujao ni kumvunjia Heshma kwa kweli!
Nami namtizama kwa umakini kama kuna kitu mbele yake anasoma. Yawezekana kifaa kama screen mbele yake kinamwezesha na nadhani ni cha kisasa sana kwa maana ya kubadili kurasa.Mkuu, sio kwamba kipo kifaa Mbele yake ambacho Pengine Sisi hatukioni tu,
Maana Kwa kumtizama, ni kama hasomi popote kweli, lakini, itakuweje ameze hotuba yooote hiyo yenye vipengele viiingi namna hiyo