mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Hongera sana... Nawatakia kila la heri katika mahusiano yenu..!
hukauki jukwaa hili.......
Hongera.... I hope wewe sio mmoja wa players unatafuta njia ya kutafuna watoto wa watu...
wasipotafunwa kupitia mitandao watatafunwa huko huko walipo
Hongera sana... Nawatakia kila la heri katika mahusiano yenu..!
Risk ya kutafunwa hapa ni kubwa kuliko mtaani....
Na mimi nataka nikutafune, sijui umeniweka kwenye calculations za risk yako?
Unakaribishwa kwa mikono miwili....