GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,036
Vipi kuhusu pumba za mwigulu mbona hamzisemi?Ila kiukweli kuna baadhi ya wabunge wanavyochangia mpk unajiuliza alifikaje fikaje hapompk akaaminiwa akawa mbunge.
Sijui ni ukosefu wa elimu au nini?
Vichwa vingi vipo nje.
Para ya pili ulimkusudia Dr Tulia badala yake ukaandika Dr Ndugai."Niwaombe Wabunge tusitumie eneo hili la Bunge kuja kuhatarisha Uhusiano wetu wa Kidiplomasia na nchi jirani kiasi cha hadi kuja Kuzitishia Kijeshi hapa Bungeni hizo nchi Jirani. Mambo mnayoyasikia huko Mitandaoni tafadhali nanyi muwe mnawajibu hao mnaodai wana Chokochoko na Tanzania lakini siyo hapa Bungeni kwani huu ni Mhimili wa Kimaamuzi na siyo Jambo jema. Ninavyojua Tanzania iko salama na hata Majirani zetu tuko nao Salama hivyo nimeomba hizi Kauli za hawa Wabunge kuitishia hiyo nchi jirani ziondolewe katika Hansard kwani siyo Kauli nzuri na Wabunge tujifunze maneno ya kuyasema hapa Bungeni"
Chanzo: Nipashe Radio One
Tafadhali popote pale ulipo Spika Dk. Ndugai pokea Salute yangu na hakika Wewe ni 'Genius' hasa na endelea Kuninyooshea hao Wabunge baadhi Majuha ( Mazuzu ) walioko hapo.
Kumbe hata GENTAMYCINE nilipokupigia sana na mno Chapuo na mpaka kuwa na uhakika kuwa utakuwa Spika ( japo nilitukanwa na kudhihakiwa hapa Jamvini ) sikukosea kwani unafanya vyema na vile nitakavyo.
Nilimpenda zaidi Hayati Rais Dkt. Magufuli ila aliponiangusha tu na hili hata kama akiwa amepumzika Milele ninamlaumu ni Kitendo chake cha Kulazimisha Wapumbavu ( Mapopoma ) wengi wawe Wabunge na ndiyo hawa wa leo ambao wanamlazimisha Rais Samia na Jeshi la JWTZ lipambane na Taifa 'Chokochoko' Jirani ambayo bila Kuficha inayofumbiwa hapa ni ya Kenya.
Hakuna Wabunge ninaowadharau kama wa Bunge hili la sasa na nina uhakika kuwa wenye IQ Kubwa kama ya Mwana Simba SC Mwenzangu Spika Dk. Tulia Ackson ni 10% tu ila 90% ya Waliobakia ni Mazuzu ( Majuha ) tupu.
Nimemaliza.
Ni Kweli Mkuu Hasira za hawa Wabunge Mapopoma zilinizidia hadi nikakosea hivyo. Hata hivyo tayari nimesharekebisha.Para ya pili ulimkusudia Dr Tulia badala yake ukaandika Dr Ndugai.
Chuo Kikuu bora cha Kuzalisha 'Majiniazi' watupu Tanzania nzima kwa sasa kama Unabishia hili Kajinyonge na Ukafe tu.Atakuwa amesoma SAUT huyu spika.
Si uziseme wewe au kuandika hujuiVipi kuhusu pumba za mwigulu mbona hamzisemi?