Spika wa Bunge Dkt. Tulia tafadhali naomba ruhusa yako ili nimtaje huyo Kigogo Mstaafu anayekuchukia sana, kwani hata Mimi pia simkubali ng'o!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,037
Najua huwa Unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama ambavyo hata Bi. Mkubwa nae huwa ananisoma vile vile hapa.

Nijibu haraka Mheshimiwa Spika na mwana Simba SC lia lia Mwenzangu Dk. Tulia Ackson ili nimsanue / nimtaje kwani hata Mimi GENTAMYCINE sikuwahi Kumkubali tokea mwaka 2005 japokuwa miaka kadhaa alienda kupunguza Kontena zake 700 za Dhambi huko Mecca Saudi Arabia na Mkewe Kisauti Kisauti.

Mheshimiwa Spika Mdau wako GENTAMYCINE nipo njiani sasa natokea Kuhiji Morogoro narejea Dar es Salaam kwa sasa ila nitapitia hii njia ya Msoga Chalinze kisha Msata halafu niitafute Kawe na nikifika Kawe nitaenda kutuliza Akili jirani na huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA mno huku nikichagua pia Samaki wazuri wa Kawe Beach ambao hata Yeye huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA kila baada ya Siku Mbili huenda Kununua hapo Samaki wa Shilingi Elfu Themanini (Tsh 80,000/=) akale na Familia yake huku wakiwa Wanaifurahia HARUFU KALI ya Mtaro na Bomba linalopita nje tu ya Ukuta wake mweupe ambao sasa unaanza kutengeneza Nyufa.
 
Najua huwa Unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama ambavyo hata Bi. Mkubwa nae huwa ananisoma vile vile hapa.

Nijibu haraka Mheshimiwa Spika na mwana Simba SC lia lia Mwenzangu Dk. Tulia Ackson ili nimsanue / nimtaje kwani hata Mimi GENTAMYCINE sikuwahi Kumkubali tokea mwaka 2005 japokuwa miaka kadhaa alienda kupunguza Kontena zake 700 za Dhambi huko Mecca Saudi Arabia na Mkewe Kisauti Kisauti.

Mheshimiwa Spika Mdau wako GENTAMYCINE nipo njiani sasa natokea Kuhiji Morogoro narejea Dar es Salaam kwa sasa ila nitapitia hii njia ya Msoga Chalinze kisha Msata halafu niitafute Kawe na nikifika Kawe nitaenda kutuliza Akili jirani na huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA mno huku nikichagua pia Samaki wazuri wa Kawe Beach ambao hata Yeye huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA kila baada ya Siku Mbili huenda Kununua hapo Samaki wa Shilingi Elfu Themanini ( Tsh 80,000/= ) akale na Familia yake huku wakiwa Wanaifurahia HARUFU KALI ya Mtaro na Bomba linalopita nje tu ya Ukuta wake mweupe ambao sasa unaanza kutengeneza Nyufa.
Genta
Umeshamtaja bana. Maana hizo full code ulizoziweka hapo zimemsaidia graduate wa Pueto Rico kumfehemu huo anayeishi na mitaro....😀
 
🔊 aache kutafuta wabaya wake kashashinda inatosha

Acha UNAFIKI mbona na Wewe humwambii huyo Kigogo Mstaafu ANAYEMCHUKIA sana Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson aache na apambane Kulea tu Wajukuu zake pale Kwake Makazi Mapya Kawe Beach huku akiendelea Kutumia Fedha zake nyingi 95% alizozificha katika Benki Moja Kubwa nchini Cyprus?
 
Najua huwa Unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama ambavyo hata Bi. Mkubwa nae huwa ananisoma vile vile hapa.

Nijibu haraka Mheshimiwa Spika na mwana Simba SC lia lia Mwenzangu Dk. Tulia Ackson ili nimsanue / nimtaje kwani hata Mimi GENTAMYCINE sikuwahi Kumkubali tokea mwaka 2005 japokuwa miaka kadhaa alienda kupunguza Kontena zake 700 za Dhambi huko Mecca Saudi Arabia na Mkewe Kisauti Kisauti.

Mheshimiwa Spika Mdau wako GENTAMYCINE nipo njiani sasa natokea Kuhiji Morogoro narejea Dar es Salaam kwa sasa ila nitapitia hii njia ya Msoga Chalinze kisha Msata halafu niitafute Kawe na nikifika Kawe nitaenda kutuliza Akili jirani na huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA mno huku nikichagua pia Samaki wazuri wa Kawe Beach ambao hata Yeye huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA kila baada ya Siku Mbili huenda Kununua hapo Samaki wa Shilingi Elfu Themanini ( Tsh 80,000/= ) akale na Familia yake huku wakiwa Wanaifurahia HARUFU KALI ya Mtaro na Bomba linalopita nje tu ya Ukuta wake mweupe ambao sasa unaanza kutengeneza Nyufa.
Mchonganishi
 
Genta
Umeshamtaja bana. Maana hizo full code ulizoziweka hapo zimemsaidia graduate wa Pueto Rico kumfehemu huo anayeishi na mitaro....😀

Ningeshangaa mno Genius kama Wewe usiielewe kwa uharaka hiyo Code kutoka Vyuo Vikuu viwili vya AKILI KUBWA nilivyosoma huko Puerto Rico na Venezuela.
 
Najua huwa Unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama ambavyo hata Bi. Mkubwa nae huwa ananisoma vile vile hapa.

Nijibu haraka Mheshimiwa Spika na mwana Simba SC lia lia Mwenzangu Dk. Tulia Ackson ili nimsanue / nimtaje kwani hata Mimi GENTAMYCINE sikuwahi Kumkubali tokea mwaka 2005 japokuwa miaka kadhaa alienda kupunguza Kontena zake 700 za Dhambi huko Mecca Saudi Arabia na Mkewe Kisauti Kisauti.

Mheshimiwa Spika Mdau wako GENTAMYCINE nipo njiani sasa natokea Kuhiji Morogoro narejea Dar es Salaam kwa sasa ila nitapitia hii njia ya Msoga Chalinze kisha Msata halafu niitafute Kawe na nikifika Kawe nitaenda kutuliza Akili jirani na huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA mno huku nikichagua pia Samaki wazuri wa Kawe Beach ambao hata Yeye huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA kila baada ya Siku Mbili huenda Kununua hapo Samaki wa Shilingi Elfu Themanini ( Tsh 80,000/= ) akale na Familia yake huku wakiwa Wanaifurahia HARUFU KALI ya Mtaro na Bomba linalopita nje tu ya Ukuta wake mweupe ambao sasa unaanza kutengeneza Nyufa.
paki gari la watu kwanza unapoandika bandiko, mambo mengi umeyaacha hujasema kwenye bandiko hili, halafu Kumbuka umebeba watoto wa watu....
 
Najua huwa Unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama ambavyo hata Bi. Mkubwa nae huwa ananisoma vile vile hapa.

Nijibu haraka Mheshimiwa Spika na mwana Simba SC lia lia Mwenzangu Dk. Tulia Ackson ili nimsanue / nimtaje kwani hata Mimi GENTAMYCINE sikuwahi Kumkubali tokea mwaka 2005 japokuwa miaka kadhaa alienda kupunguza Kontena zake 700 za Dhambi huko Mecca Saudi Arabia na Mkewe Kisauti Kisauti.

Mheshimiwa Spika Mdau wako GENTAMYCINE nipo njiani sasa natokea Kuhiji Morogoro narejea Dar es Salaam kwa sasa ila nitapitia hii njia ya Msoga Chalinze kisha Msata halafu niitafute Kawe na nikifika Kawe nitaenda kutuliza Akili jirani na huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA mno huku nikichagua pia Samaki wazuri wa Kawe Beach ambao hata Yeye huyo Kigogo Mstaafu wako ANAYEKUCHUKIA kila baada ya Siku Mbili huenda Kununua hapo Samaki wa Shilingi Elfu Themanini ( Tsh 80,000/= ) akale na Familia yake huku wakiwa Wanaifurahia HARUFU KALI ya Mtaro na Bomba linalopita nje tu ya Ukuta wake mweupe ambao sasa unaanza kutengeneza Nyufa.
Achen kumchafua kikwete
 
Back
Top Bottom