Asante sana 'Genius' Spika Dk. Tulia Ackson kwa kuwaumbua na kuwaelimisha Wabunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri Bungeni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
46,526
78,967
"Niwaombe Wabunge tusitumie eneo hili la Bunge kuja kuhatarisha Uhusiano wetu wa Kidiplomasia na nchi jirani kiasi cha hadi kuja Kuzitishia Kijeshi hapa Bungeni hizo nchi Jirani. Mambo mnayoyasikia huko Mitandaoni tafadhali nanyi muwe mnawajibu hao mnaodai wana Chokochoko na Tanzania lakini siyo hapa Bungeni kwani huu ni Mhimili wa Kimaamuzi na siyo Jambo jema. Ninavyojua Tanzania iko salama na hata Majirani zetu tuko nao Salama hivyo nimeomba hizi Kauli za hawa Wabunge kuitishia hiyo nchi jirani ziondolewe katika Hansard kwani siyo Kauli nzuri na Wabunge tujifunze maneno ya kuyasema hapa Bungeni"

Chanzo: Nipashe Radio One

Tafadhali popote pale ulipo Spika Dk. Tiulia Ackson pokea Salute yangu na hakika Wewe ni 'Genius' hasa na endelea Kuninyooshea hao Wabunge baadhi Majuha ( Mazuzu ) walioko hapo.

Kumbe hata GENTAMYCINE nilipokupigia sana na mno Chapuo na mpaka kuwa na uhakika kuwa utakuwa Spika ( japo nilitukanwa na kudhihakiwa hapa Jamvini ) sikukosea kwani unafanya vyema na vile nitakavyo.

Nilimpenda zaidi Hayati Rais Dkt. Magufuli ila aliponiangusha tu na hili hata kama akiwa amepumzika Milele ninamlaumu ni Kitendo chake cha Kulazimisha Wapumbavu ( Mapopoma ) wengi wawe Wabunge na ndiyo hawa wa leo ambao wanamlazimisha Rais Samia na Jeshi la JWTZ lipambane na Taifa 'Chokochoko' Jirani ambayo bila Kuficha inayofumbiwa hapa ni ya Kenya.

Hakuna Wabunge ninaowadharau kama wa Bunge hili la sasa na nina uhakika kuwa wenye IQ Kubwa kama ya Mwana Simba SC Mwenzangu Spika Dk. Tulia Ackson ni 10% tu ila 90% ya Waliobakia ni Mazuzu ( Majuha ) tupu.

Nimemaliza.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
26,932
30,000
Sijui kwanini watu wengine mnaishabikia simba.

All in all ukisikiliza bunge kipindi hiki kunatia hasira sana.kuna watu wajinga sana humo.

Magu alibeba watu ila 2025 angefika angepangusa wengi sana.
 
kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
6,990
7,468
Ila kiukweli kuna baadhi ya wabunge wanavyochangia mpk unajiuliza alifikaje fikaje hapo😆 mpk akaaminiwa akawa mbunge.
Sijui ni ukosefu wa elimu au nini?

Vichwa vingi vipo nje.
 
SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
1,328
628
Ahsante Mh.Tulia.
Niseme tu nimekutana na wanahudhuri wengine ambao wamenihakikishia na kuapa kuwa JWTZ limo kwenye mchakato huko Loliondo. La hasha siyo kweli!.

....isitoshe nimeitwa kibaraka wa Kenya na mengine mengi. Nimeitwa Mmasai kwa vile tu nadai watendewe haki. Sasa nahisi najua hayo mashambulizi yana uasili wa wapi.

Mungu Ibariki Bunge letu la watu wa Jamhuri.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
1,328
628
Mkuu Dawa zako wakati mwingine huwa ni ngumu kumeza, kwa hili Tupo pamoja.
Amani ikufikie pamoja na kufanikiwa na majukumu yako.
 
ACHIKOYO

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
290
301
"Niwaombe Wabunge tusitumie eneo hili la Bunge kuja kuhatarisha Uhusiano wetu wa Kidiplomasia na nchi jirani kiasi cha hadi kuja Kuzitishia Kijeshi hapa Bungeni hizo nchi Jirani. Mambo mnayoyasikia huko Mitandaoni tafadhali nanyi muwe mnawajibu hao mnaodai wana Chokochoko na Tanzania lakini siyo hapa Bungeni kwani huu ni Mhimili wa Kimaamuzi na siyo Jambo jema. Ninavyojua Tanzania iko salama na hata Majirani zetu tuko nao Salama hivyo nimeomba hizi Kauli za hawa Wabunge kuitishia hiyo nchi jirani ziondolewe katika Hansard kwani siyo Kauli nzuri na Wabunge tujifunze maneno ya kuyasema hapa Bungeni"

Chanzo: Nipashe Radio One

Tafadhali popote pale ulipo Spika Dk. Ndugai pokea Salute yangu na hakika Wewe ni 'Genius' hasa na endelea Kuninyooshea hao Wabunge baadhi Majuha ( Mazuzu ) walioko hapo.

Kumbe hata GENTAMYCINE nilipokupigia sana na mno Chapuo na mpaka kuwa na uhakika kuwa utakuwa Spika ( japo nilitukanwa na kudhihakiwa hapa Jamvini ) sikukosea kwani unafanya vyema na vile nitakavyo.

Nilimpenda zaidi Hayati Rais Dkt. Magufuli ila aliponiangusha tu na hili hata kama akiwa amepumzika Milele ninamlaumu ni Kitendo chake cha Kulazimisha Wapumbavu ( Mapopoma ) wengi wawe Wabunge na ndiyo hawa wa leo ambao wanamlazimisha Rais Samia na Jeshi la JWTZ lipambane na Taifa 'Chokochoko' Jirani ambayo bila Kuficha inayofumbiwa hapa ni ya Kenya.

Hakuna Wabunge ninaowadharau kama wa Bunge hili la sasa na nina uhakika kuwa wenye IQ Kubwa kama ya Mwana Simba SC Mwenzangu Spika Dk. Tulia Ackson ni 10% tu ila 90% ya Waliobakia ni Mazuzu ( Majuha ) tupu.

Nimemaliza.
Para ya pili ulimkusudia Dr Tulia badala yake ukaandika Dr Ndugai.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom