Asante Raisi kwa kutuondolea Msonde.

Niwaheri

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,676
Reaction score
5,895
Nichukue nafasi hii kukupongeza Raisi Samia kwa kumuondoa huyu mjivuni na mwenye amri za kibabe msonde,nadhani unatufatilia vyema hapa jamii forum.
Kwa upande wa elimu bado kuna changamoto ya uhamisho,uhamisho imekuwa njia ya baadhi ya watu kutajirika na baadhi kutapeliwa.
Nina imani huyu aliyetuletea atalishughulikia suala hili haraka iwezekanavyo,ikiwa ni pamoja na kulitolea ufafanuzi.
Nadhani wote kupitia page ya TAMISEMI hapa jamii forum tunaweza kupata picha halisi ya hiyo Tamisemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…