Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema

Ndimara

Zitto , na kitila walipoelezwa tuhuma zao kwa mara ya kwanza

walisema kuwa wanajiuzulu kwa hiari yao


baadae Lissu akaja na ujinga unaoendana na sura yake kuwa hawawezi kujiuzulu kwa heshima, acha wadhalilike.......ndiyo haya sasa
 
jamani hoja!!!!
 
Ndimara nakuheshimu kuhusu Zitto tunapishana Misimamo.
 
Good analysis, Zitto unakazi ya kututhibitishia Kuwa wewe siyo mbinafsi kama tunavyo kutazama sasa huku nje.

Akudhihirishie nini tena??? Kama washutumiwa wakukuwa watatu yeye kawatema wenzake kaenda mahakamani aline, huyu ni mtu au fisi?? Zutto ni mzigo, habebeki mgongoni wala kifuani, nadhani ana virus ya ubongo.
 
fanya uchanganuzi mwenyewe uone alichoandika kama hakina mantiki, ushabiki maandazi hauna maana katika kipindi hiki ambacho umeme umepanda maradufu na hali ya maisha inazidi kuwa mbaya kila ukicha...

ni kazi ngumu sana kumuonesha mtu mwenye macho jambo ambalo kwa macho yake anaona lakini aangali ila anarazimisha akili yake iamini kama anavyoangalia na si kama anavyoona.
 

Kumkuta sio kinga ya kumshughulikia akifanya madudu.Hata kama chama angekianzisha yeye sasa amekuwa huni ashughulikiwe tu.
 
The best revenge is to move on and get over it. Don't give someone the satsfaction of watching you suffer.
 
Namfahamu huyu bwana Ndimara vizuri sana, yuko huru sana kimawazo ni ngumu kumtumia kama wengi wanavyofikiri. Good analysis.
 
zzk kawaleta uvccm mahakamani, waratibu wa vijana hao wa zzk ni ccm; zungumzia na hili.

nyie kila linalotokea baya kwenu mnalalamika.
1.watu wakijaa ktk mikutano ya wenzenu mnasema WAMELIPWA ila kwenu aaaaaaaaaaaaaah mnapendwa
2.mkishindwa UCHAGUZI mnasema oooooh tumeibiwa kura,ila mkishinda ooooooooooh tumeanza na mungu wao wameanza na shetani
3.mkishindwa mahakamani-ooooooh mahakama imetuonea,,ila ikitokea kwa wenzenu mnasema mahakama imetenda haki
4.mmemtesa mwenyekiti wenu temeke.sasa mnakuja na mkakati wa uongo,kana kwamba hamkusikiliza ITV wakati bwana yona akielezea jinsi anavyowafahamu waliomtesa

watanzania hawa wanawachoka sasa
 
 

TEGAMBWAGE M.S.E.N.G.E sana katupotezea muda muleba kaskazini tukiwa sekondari kwa kitabu chake duka la kaya ; laana itamurudia kaua mji wa kamachumu kwa kuzuia kuwa wilaya , kakimbia ata nyumba ya kufikia ana ; aende CDM ; Mjinga mkubwa ; Mpaka leo mji umedumaa na mpiga kampeni wake mkuu marehemu padri kapilipili
 
Kumkuta sio kinga ya kumshughulikia akifanya madudu.Hata kama chama angekianzisha yeye sasa amekuwa huni ashughulikiwe tu.

nakubaliana na wewe ktk hili
Tatizo ni pale maamuzi ya kumshughulikia mtu yanapofanywa kwa hisia,kama kungekuwa na ukweli wa mambo sidhani kama ungesikia watu wakipiga kelele,kuna mangapi yamefanyika ndani ya chama na hakuna aliyelalamikia juu ya maamuzi husika.
Ni kweli kuwepo chamani muda mrefu hakukupi hadhi ya kukiharibu chama,lakini pia vyama hivi ni vyema vikawapa wanachama wao uhuru wa kuhoji mambo.
Kumbuka,mzee Mtei anasema maamuzi ya cc ndio ya mwisho,je kulikuwa na haja gani kuwa na katiba inayoruhusu mwanachama kukata rufaa ktk ngazi ya juu?
 
 

nitajie faida 2 tu za matusi .
 

Hakuna ndoa isiyovunjwa mahakamani, ndoa zote zinavunjwa kisheria mahakamani zikiwemo ndoa za kanisani.
 
Huyu alihusika sana kuiua NCCR Mageuzi! hivi yuko chama gani kwa sasa?

Kuna jamaa huku hataki kufunga ndoa, kisa eti hawezi kufungishwa ndoa na Padre asiyeoa.
Mwingine hataki kwenda shule kisa eti hataki kusomeshwa na wazazi wake kwa sababu wazazi wenyewe hawakusoma.
 
Hakuna ndoa isiyovunjwa mahakamani, ndoa zote zinavunjwa kisheria mahakamani zikiwemo ndoa za kanisani.
Matola umenielewa lakini? Nasema hivi kama ndoa hiyo inalazimishwa iwepo hata unyumba utakuwepo hapo?
 
Last edited by a moderator:
 

daaaaah!mamluki wamemfukuza mwenye chama.............. nijuavyo hakuna mwenye chama....... ila kuna wanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…