[FONT=trebuchet
ms]Ninachojaribu kutafakari juu ya Mahakama zetu ni pale
zinapotoa hukumu za kuwabakisha wanachama kwenye vyama ili
'wasiathirike'.
Mwanachama wa chama cha siasa kama mtu binafsi anayo haki ya 'kulindwa
na Mahakama' but on the other way round iko hivi: Je vyama kama Taasisi
nazo si zina haki ya kulindwa na Mahakama kwa mujibu wa Katiba zao na
Katiba ya nchi kwa ujumla!?
Kwa maana hiyo, kweli inawezekana siku moja ikatokea Mahakama 'ikatoa
hukumu' ya kumlazimisha mwanachama aliyeamua kuondoka/kukihama chama
asiondoke ili isisababishe damage kwa chama na shughuli zake? (fikiria
mara mbili kama hujanielewa tafadhali).
[/FONT]
Nilisema kuhusu Zitto kusahau kuhusu kuwa na uwezo wa kufanya kazi na viongozi alioshindana nao mahakamani.
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "
Mhandisi unadhani zitto anaweza tena kufanya kazi na watu waliomkataa awali?Fikiri mara mbili hata kama ana jasho lake.Kuna wengi walikuwa na jasho lakini hiki si kigezo cha kuacha wewe uvuruge utaratibu uliopo."Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "
Nimeipenda hiii!, sheria ni msumeno....:flame:
Kwa maana hiyo, kweli inawezekana siku moja ikatokea Mahakama 'ikatoa hukumu' ya kumlazimisha mwanachama aliyeamua kuondoka/kukihama chama asiondoke ili isisababishe damage kwa chama na shughuli zake? (fikiria mara mbili kama hujanielewa tafadhali).
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "
Nimeipenda hiii!, sheria ni msumeno....:flame:
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "
Huyu Tegambwage kwa kihaya maana yake ni mtu asieongelewa vizuri na watu,ni muhuni alikuwa mbunge wa NCCR Muleba kaskazini 1995-2000 akafanya uhuni kuanzia alivyopata ubunge mpaka anamaliza muda ndo tulimuona jimboni akiomba kura tena,tena anyamaze kabisa muhuni tu.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Baadhi ya dini zimethibitika kuwa ni uhalifu kuziabudu na miungu wao ni criminal devils.
Mkuu muda mwinginr usipende kuleta ushabiki kila jambo embu leta uhuni wa huyu jamaaa.
Pia mkuu jitahidi kujibu hoja zake na sio kumfanyia personal attack.
Na alosema liluwahi kumtokea au kulifanya so ana experience amabyo kaielrza vizuri tu, sasa ww unaposema kwamba anauhuni kama hoja ya sie kutomuelewa wakati tumepima na kuona ana hoja tunashindwa kupata uwezo wako wa kuhoji na labda hata kupinga hoja za msingi.
Jiweke katka kujadili hoja zake na si vinginevyo.