Asante Mungu, nimepata ajira

Usimsahau Mungu. Uzoefu unaonyesha watu wengi kabla ya kupata ajira. Walikuwa wakiomba na kufunga. Baada ya kazi wanamsahau mpaji. Take care.
 
mkuu kweli Mungu ni wa kushukuliwa!umenikumbusha mbali ulivosema ur so bright n una ndgu kibao lakin hawasaidii chochote!inapain sana hii kitu!ila Mungu yupo

Mkuu hapo kwenye red tunashare maumivu, ila tuweke matumaini yote kwa Mungu yeye ndo muweza wa yote.
 
Mkuu hapo kwenye red tunashare maumivu, ila tuweke matumaini yote kwa Mungu yeye ndo muweza wa yote.

kweli kweli mkuu maana sometimes unahisi u deserve kuwa wa kwanza especially kama ulikua na uwezo wa kuchanganua mambo kadiri cku znavyokwenda unaanza kupoteza ile brightness!bt GODs TIMe is BEST
 
Almighty god is good n fare ila maswala ya rizki yana hitaji imaani saana sababu kila mtu kapangiwa rizki yake so wakti ukifika tu mtu utapata portion yako.
Hongera mdau fanya maendeleo sasa ili uje kuwatuma wale walio kusnitch
 
Sifa na utukufu virud kwa yy aliye juuu...

muwekee bwana ndahiri kaka kwa chochote kile, na mwanga wake utaangza jia zako..
 

mshahara wanakulipa tsh. ngapi!?
 
Hongera mkuu mtzmweusi ila huko kazini uliko fanya haya yafuatayo ili uendelee kuwa na thamani;

1.Heshimu uliowakuta ila usiwaogope
2.Hakuna anayependa mafanikio yako kwa hiyo kuwa msiri sana na maendeleo yako usitangaze hata kwa mtu mmoja hata upate vogue usiwaambie mpaka waione.
3.Ukikuta wanamsengenya bosi au mtumishi yeyote,wewe kaa kimya usichangie chochote au ikiwezekana tabasamu tu.
4.Usimuamini yeyote ishi nao kwa tahadhari sana wengine watakuzoea kutaka kujua unanini na unafanya nini kwa mshahara wako.
5.Usichezee pesa hata mia tano ithamini.

good lucky mkuu
 
Goodluck... usisahau kutuombea na sisi wenzio tupate kazi. Ikipatikana fursa, usisite kutujulisha.
 
kumbuka sana wala usisahau kutoa sadaka kanisani, kumbuka hilo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…