Asante Mungu mwenyezi leo nimechangia sh elf kumi ya ujenzi wa kanisa dodoma kizota

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wakuu

Leo nimechangia mchango wa kanisa la mwenyezi Mungu baba wa mbinguni sh elf kumi

Nimetoa pesa hiyo nikiwa na furaha sana tena ndani ya kanisa na waumini wote wakiwepo

Baba paroko akasema Mungu akubariki sana

Ni ndan ya kanisa Catholic

Hakika leo nimebalikiwa aisee

Mungu mimi nakupenda sana

Yesu mimi nakupenda sana

Asanten sana jaman

Leo nina furaha sana

LONDON BOY
 
Sadaka ni kama mbegu lakini hiyo mbegu lazima uipande kwenye udongo wenye rutuba ili iweze kukua na kuzaa matunda ndo furaha na amani yako itakuwa timilifu. Nakumbuka niliwahi kutoa mshahara wangu woote miaka hiyo mshahara wangu ulikuwa 80,000 kwa mwezi. Baadaye nikafukuzwa kazi. Nikawa jobless sina mbele wala nyuma na sina pa kuanzia. Nikakumbuka niliwahi kutoa sadaka mshahara wangu wote ambapo nilimg'ang'ania Mungu mpaka akanibariki
Isaya : Mlango 43
26 Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
 
Amen
 
Write your reply...beira mkuu ukitoa sadaka hata mkono wa kushoto usiujue,sasa mpaka jf tumejua mkuu umeua yote kwa yote Mungu aliye juu akubariki sana
 
Aman iwe nanyi wakuu

Leo nimechangia mchango wa kanisa la mwenyezi Mungu baba wa mbinguni sh elf kumi

Nimetoa pesa hiyo nikiwa na furaha sana tena ndani ya kanisa na waumini wote wakiwepo

Baba paroko akasema Mungu akubariki sana

Ni ndan ya kanisa Catholic

Hakika leo nimebalikiwa aisee

Mungu mimi nakupenda sana

Yesu mimi nakupenda sana

Asanten sana jaman

Leo nina furaha sana

LONDON BOY
Katoliki ni zaidi ya dhehebu,

Katoliki ni mlezi wa nyoyo,
Katoliki ni huduma tena huduma bora,
Katoliki ni mtetezi na mwokozi,
katoliki ni mtumishi kwa jamii,
katoliki ni usafi wa kiroho,
katoliki ni huruma,amani na upendo,

Amani ya bwana iwe nawe
 
Kwa kuitangaza hapa ulishaibadilisha jina kutoke kwenye sadaka hadi msaada.
 
Back
Top Bottom