Asante Mungu kwa kutupatia Rais mwenye hekima.

Mukua

Senior Member
Sep 30, 2021
156
202
Huyu ndiye rais aliye chaguo la Mungu, wengi hawkutegemea kuwa mama Samia angekuwa rais wa nchi hii, Ila kwa Mungu Kila kitu kina wezekana.
Huyu ni miongoni mwa binadamu walio Pata malezi Bora zaidi toka kwa wazazi wao.
Atoapo hutuba utaona wingi wa hekima alizo jaliwa na Mwenyezi Mungu, ni rais asiye kuwa na majisifu, ni rais ambaye akitoa hotuba inagusa Kila nyanja ya msikilizaji, na hii ndio iliyo mpaisha baada ya kutoa hutuba kwenye Baraza la Umoja wa mataifa, Dunia Ila ona wingi wa hekima na busara zilizojaa ndani ya mama huyu.
Amerejesha uhusiano mzuri Kati nchi yetu na mataifa mengine, uhusiano ambao kwa hakika ulikuwa na Kila dalili zisizo kuwa na afya njema. Yapo mengi anayo fanya ambayo Yana afya kwa Taifa letu.na ndo maana tunapaswa kumwambia Mungu Asante kwa kutupatia Rais mwenye wingi wa hekima kwa kiwango Cha Hali ya juu.
 
Wabongo tushawazoea,kesho hata mimi nikiwa Rais wa Tanzania utanisifia na kuniona nina hekima sana!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ndiye rais aliye chaguo la Mungu, wengi hawkutegemea kuwa mama Samia angekuwa rais wa nchi hii, Ila kwa Mungu Kila kitu kina wezekana.
Huyu ni miongoni mwa binadamu walio Pata malezi Bora zaidi toka kwa wazazi wao.
Atoapo hutuba utaona wingi wa hekima alizo jaliwa na Mwenyezi Mungu, ni rais asiye kuwa na majisifu, ni rais ambaye akitoa hotuba inagusa Kila nyanja ya msikilizaji, na hii ndio iliyo mpaisha baada ya kutoa hutuba kwenye Baraza la Umoja wa mataifa, Dunia Ila ona wingi wa hekima na busara zilizojaa ndani ya mama huyu.
Amerejesha uhusiano mzuri Kati nchi yetu na mataifa mengine, uhusiano ambao kwa hakika ulikuwa na Kila dalili zisizo kuwa na afya njema. Yapo mengi anayo fanya ambayo Yana afya kwa Taifa letu.na ndo maana tunapaswa kumwambia Mungu Asante kwa kutupatia Rais mwenye wingi wa hekima kwa kiwango Cha Hali ya juu.
Hakuna demokrasia tena, mchakato wa katiba umesitishwa, mikutano ya vyama vya upinzani imezuiliwa, halafu unatuambia ujinga huu?!!!
 
Mmeisha anza tena kukufuru? Acheni Mambo haya, hizi sifa za kijinga mmefanya watu wajione Mungu mtu, hamjifunzi acheni Mara moja
 
Kwako unaona ni ujinga kwa kiwango Chako Cha fikra, mbona kwa yule Wala haukuthubutu kufungua kinywa Chako kudai hayo unayo yalalamikia.
Mwacheni mama alete maendeleo , ondoeni mawazo ya ki mfumo dume yaliyo wajaa, na lazima sasa mkubali kuwa Samia ndio Rais wa nchi hii, na tutamsifu kwa ubora wake.
 
Mmeisha anza tena kukufuru? Acheni Mambo haya, hizi sifa za kijinga mmefanya watu wajione Mungu mtu, hamjifunzi acheni Mara moja
Wanaojiona miungu watu wanapo Pata madaraka ni wale waliokosa malezi mema na Wala wajui kuwa anaye ruhusu atawale ni Mungu, mama ni mcha Mungu na Wala kamwe usidhani ajawa na ujinga Kama huo unao ufikiria.
 
Huyu ndiye rais aliye chaguo la Mungu, wengi hawkutegemea kuwa mama Samia angekuwa rais wa nchi hii, Ila kwa Mungu Kila kitu kina wezekana.
Huyu ni miongoni mwa binadamu walio Pata malezi Bora zaidi toka kwa wazazi wao.
Atoapo hutuba utaona wingi wa hekima alizo jaliwa na Mwenyezi Mungu, ni rais asiye kuwa na majisifu, ni rais ambaye akitoa hotuba inagusa Kila nyanja ya msikilizaji, na hii ndio iliyo mpaisha baada ya kutoa hutuba kwenye Baraza la Umoja wa mataifa, Dunia Ila ona wingi wa hekima na busara zilizojaa ndani ya mama huyu.
Amerejesha uhusiano mzuri Kati nchi yetu na mataifa mengine, uhusiano ambao kwa hakika ulikuwa na Kila dalili zisizo kuwa na afya njema. Yapo mengi anayo fanya ambayo Yana afya kwa Taifa letu.na ndo maana tunapaswa kumwambia Mungu Asante kwa kutupatia Rais mwenye wingi wa hekima kwa kiwango Cha Hali ya juu.
Mkuu nipe Dili nami nimsifie Mama. Angalau nipate kula. Huku Mtaani pamezidi kuwa pagumu tangu aondoke Baba.
 
Mama amezungukwa na mafisi wanamtisha sana ili watekeleze yao...akishazoea hizo fitna atakuwa anawagomea ....kuanza kuwakatalia ujinga mwingine mwingi tu
 
Kumbe hotuba ya Hangaya UN imempaisha juu? Kipi alichoongea hata kumupaisha?.Baada ya hotuba yake angekutana na rais wa Marekani pasingetosha hapa.

Vipi Yule rais wa Zambia aliyetinga White House huko Marekani?
Vipi Uhuru Kenyatta?

Tumusaidie mama kwa kumueleza ukweli ajitahidi maana bado hajakubalika kwa wananchi walio wengi badala ya kumsifia.
Hata maagizo anayotoa Kama rais hayazingatiwi.
 
Huyu ndiye rais aliye chaguo la Mungu, wengi hawkutegemea kuwa mama Samia angekuwa rais wa nchi hii, Ila kwa Mungu Kila kitu kina wezekana.
Huyu ni miongoni mwa binadamu walio Pata malezi Bora zaidi toka kwa wazazi wao.
Atoapo hutuba utaona wingi wa hekima alizo jaliwa na Mwenyezi Mungu, ni rais asiye kuwa na majisifu, ni rais ambaye akitoa hotuba inagusa Kila nyanja ya msikilizaji, na hii ndio iliyo mpaisha baada ya kutoa hutuba kwenye Baraza la Umoja wa mataifa, Dunia Ila ona wingi wa hekima na busara zilizojaa ndani ya mama huyu.
Amerejesha uhusiano mzuri Kati nchi yetu na mataifa mengine, uhusiano ambao kwa hakika ulikuwa na Kila dalili zisizo kuwa na afya njema. Yapo mengi anayo fanya ambayo Yana afya kwa Taifa letu.na ndo maana tunapaswa kumwambia Mungu Asante kwa kutupatia Rais mwenye wingi wa hekima kwa kiwango Cha Hali ya juu.

Uumbaji hauwezi kukosea

Mwanamke ni kiumbe dhaifu

Bila force kutoka mahali fulani haiwezekani kwenda

Hakuna mwanamke Aliye strong visionary postive ambaye anaweza kufanya mambo bila msukumo kutoka sehemu

Yeyeto ukitakujua hilo mtanguluze mwanmke wakati wa gizq halafu muulize unaona mbele , je? Huko tuendako tutafika atakuambia sioni na sijui kama tutafika pia atakuambia hii njia sio nzuri

Mwanamke hajaumbwa kutumia ubongo ili wanatumia HISIA NA MANENO

HIVYO UBONGO WAO HUFANYA KAZI TU PALE MWANAUME ANAPOWALAZIMISHA AU KUWASHAWISHI

hata biblia inaonyesha

Kuwa mwanamke ni dhaifu kwenye

Ubongo na NGUVU huwa hawaoni mbele

Huwa wanaangalia kinachoonekana kuliko kinachokusudiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom