Asante MkuuHongera sana mkuu
AaaaaaahHio imekaa katikati mkuu.
Umeuliza hii imekaaje, ndiyo kakujibuAaaaaaah
Sijakuelewa, unamaanisha nn mkuu
Okay,Umeuliza hii imekaaje, ndiyo kakujibu
Thanks MkuuNenda pale bodi wape index number yako ya form four watakuangalizia. Wakikuta limeisha watakupa hiyo clearance, wakikuta bado itakulazimu urudi umtaiti mwajiri wako kwamba marejesho alikua anapeleka au laa?
Kwa kuanzia anza na huo utaratibu utapata tu clearance letter.
Jane Lowassa.Una sura na jina nzuriiiii!!!,Hongera.Umeuliza hii imekaaje, ndiyo kakujibu
Jike shupaUmeuliza hii imekaaje, ndiyo kakujibu
Ushauri Kama una mtoto ebu jaribu kumuandalia mazingira ya ada ya elimu ya juu hapo baadae kwa kuweka akiba asilimia 15 Kama ilivyokua unakatwa na heslb hivyo iwe Kama mwendelezo wa makato
Bei ganiWakuu hopefully mko salama
Haikuwa kazi rahisi, Ila atimaye my salary slip haisomi tena makato ya higher education student loan board (HESLB).
Baada ya msoto wa makato kwa muda wa miaka 5 ndani ya nyavu za Bodi ya mikopo, hatimaye deni hilo limekwisha na hati ya mshahara ya mwezi wa tano ime-decrare the deduction is off.
Japo nilitambua umhimu wa malipo hayo, Ila kiukweli, makato hayo yalikuwa mzigo mkubwa na mara nyinyi yalininyima usingizi.
Natambua nimetimiza wajibu wangu wa kulipa mkopo ulionisaidia kupata elimu ya juu. Nitumie wasaha huu pia kuwashukuru wananchi wa Tanzania kupitia serikali ya Tanzania, kwa kunipa fursa ya kujielimisha kwa level of my first degree kupitia kodi za watanzania.
Niombe serikali iendelee kutoa fursa hii kwa vijana wa kitanzania ili wafikie ndoto zao za kujielimisha. Hata ivyo, kwa wazazi wenye uwezo usiruhusu mwanao kumbebesha mzigo huu wa deni la elimu ya juu. Hakika unachosha na kuvujisha jasho kwa kijana ambaye ndo kwanza anaanza maisha.
Mwisho kwa wale ambao mmeshamaliza deni la HESLB naomba kujua taratibu ya kupata loan clearance certificate, coz Kuna rafiki yangu mmoja amenishitua kuwa unawaza ku clear deni kwenye salary slip Ila ukienda bodi ya mkopo unaweza kuta bado unadaiwa, hii imekaaje wakuu?
Wakuu hopefully mko salama