Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Safi sana Mkuu , moja ya faida ya kuoa Mwanamke makini.

Yote ulosema nikweli,..hata akikosea kupika, usinune, usiache chakula, mwambie "Wife chakula cha leo hakijazidi cha jana /ivi chakula cha Jana ulikiwekea nn wife ?'

Badala yake kuna njemba, yenyewe itasusa , itamtupia chakula, itainuka, itatoka nje kula kwa hotel, hatamsemesha mkewe !!.

Khantwe unaona mwenzako anashukuriwa ???..nawee hongera hahaha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚humu ndani mada nyingi ni kuomba ushauri jinsi ya kuhandle michepuko uzi kama huu hawajazoea so wakiona wanashangaa na kutoa povu hhhaah .
 
Nikuambia kitu.kabla ya kuingia ktk ndoa lazma umuandae kua mke.na yeye akuandae kua mume.wengi wetu huoa kwa mihemuko,aiza
Kipato kimekua.
Ana taka mtoto
Amechoka kuishi pekeake nk.so!uwezi kupata mke bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani zaidi ya maandalizi hayo ya awali pia kuna kitu bahati, kumpata mtu mkaelewana kiasi hiko si kitu rahisi
Nakuombea udumu katika ndoa
 
"if the move is too open look for the best move"

kuwa makini pale kila kitu kinaonekana ni chema snaa na kupendeza macho na moyo wako , wasiwasi ndio akili kuwa makini sana mwenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…