Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Akihutubia malaki ya Watanzania Mjini Sumbawanga leo amejibu hoja zaifu za Mla Mihogo(dk slaa), Amesema chadema siyo mali ya Dk slaa, Mbowe au kiongozi yoyote yule, chadema ni mali ya watanzani wenye mapenz mema na nchi yao,.Haiwezekan mtu na mke wake wajifanye chadema ni mali yao..sourc itv habar saa 23 usku
Kwa hiyo msimamo wako ni upi? Tuirudishe CCM madarakani tena???!!Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Ajenda ya Richmond iliwapaisha wapi? Mbona hamkuwapa kura za urais pamoja na hiyo ajenda yao ya Richmond?Mbowe tatizo lake anszani wtz hakuna kumbukumbu 2010 agenda ya Richmond ndo iliwapaisha Leo hii anasema mini?
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Siyo labda tupo tena mamilion tunaamini ivyo kwamba chadema ni mali yetu, then mbona majibu yako yametawaliwa na hofu hofu sana kama magamba?
Labda kwenye kabisa LA gwajima na zile nguvu sake zisizoeleweka,mwaka huu fisadi haingii ikulu,Utajibiwa tusubri hapo hapo usiondoke sawa, tunamalizia kumuaapisha Rais mpya wa awamu 5 Mh.Lowasa, tutakujibu tu ondoa shaka
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Endeleza matusi unazani sheria ya makosa mitandao bado,utajua tu,
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Acheni kututisha nyie mnavyotukana, au sababu mpo juu ya sheria