Acha unaa kwani hela siku zote za serekali ni za nani?Pia kuwapo kwa hela kama hamna usimamizi mzuri hayo yote yangetokea?Nenda Tabora ambapo kuanzia balozi mpk mkuu wa mkoa ni CCM kama sio majanga.
Hivi sugu anasimamiya nini
Alishawai kukwambia yy ni msimamizi wa jiji la mbeya?
Au alikudanganya yy ndio anaepanga bajeti na kupanga bajeti ya jiji la mbeya ?
Usiwepwagu ndugu akikusikia mwanao atasema hana baba