Asante M-PESA kwa gawio

Wapuuzi wamenipa 101 wakati natumia zaidi kila siku kutuma na kuweka
 
Hii ela kwa mtu mmoja mmoja ni ndogo saaana. Me nawashauri Mpesa wawe wanakusanya then wanatoa msaada kwa wenye mahitaji maalumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…