Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,552
Hii ela kwa mtu mmoja mmoja ni ndogo saaana. Me nawashauri Mpesa wawe wanakusanya then wanatoa msaada kwa wenye mahitaji maalumu.
Mkuu inaonesha unatumia zaidi Atm kuliko mpesa
Mis u Demiss
Natumia sana mpesa ila gawio hili duuh
6FN82G8EES6 Imethibitishwa.Umepokea Tsh838.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 23/6/19 saa 5:14 AM Salio lako ni M-Pesa ni .....Leo ilikua Siku ya gawio LA mpesa.Mimi nimepewa 50 weweje.