Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Katika mambo ambayo JK ameyaongea vema na kwa uzalendo jana wakati akitoa hotuba katika Baraza la Iddi ni hili la viongozi wa Dini hizi mbili kubwa kutokulumbana wakati wa mchakato wa Katiba mpya na kutaka kuingiza maslahi yao ya kidini! JK amedai kuwa ndio maana masuala ya kidini yametakiwa yasiwemo kwenye Katiba mpya!
Hongera sana JK kwa kuona mbele!
Hongera sana JK kwa kuona mbele!