Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Namba inatisha kwa kweliAisee kwa hiyo namba ya walio tuma maombi , kweli Kuna uhitaji wa ndoa asee
Hongera sana Mkuu kwa kupata mathnaaaa, Mungu akuongoze uwe mwadilifu juu yao wote.Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums.
Niliwapa fursa wana jf walio interested na ndio niliowapa kiapaumbele.
Statistics ya maombi ilikua hivi:
Walioomba jumla ni 32.
Waliokidhi vigezo ni 3
Ambao hawajakidhi vigezo ni 29.
Hao watatu, aliyekua top ni kutoka Zanzibar, aliyefuata ni kutoka singida, na wa huyo mwingine ni kutoka dsm.
Ktk mchujo wa hao watatu, nimeamua kumchukua yule wa zanzibar kwasababu zifuatazo.
1. Mtoto ni Shombe shombe
2. Mtoto ni laini laini
3. Mtoto ni anawakawaka.
4. Mtoto ni ana natural long hair (loh, nipewe nini mimi Mjina)
5. Mtoto ni ana sauti nzuri.
Ndoa tutaifunga next month, mbezi kwa msuguli ndipo sherehe itakuwepo baada ya ndoa kufanyika huko znz. Nitawajuza Tarehe.
Posa ninapeleka Tarehe 25 zanzibar
Ahsanteni sana jf...
Mkuu changamka upate chombo chako mapemaaaaaAisee kwa hiyo namba ya walio tuma maombi , kweli Kuna uhitaji wa ndoa asee
duh ngoja nisubirie namba 3
Naomba hiyo list ya 32 rejected nichekeche nitapata mmoja bila shaka..!Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums.
Niliwapa fursa wana jf walio interested na ndio niliowapa kiapaumbele.
Statistics ya maombi ilikua hivi:
Walioomba jumla ni 32.
Waliokidhi vigezo ni 3
Ambao hawajakidhi vigezo ni 29.
Hao watatu, aliyekua top ni kutoka Zanzibar, aliyefuata ni kutoka singida, na wa huyo mwingine ni kutoka dsm.
Ktk mchujo wa hao watatu, nimeamua kumchukua yule wa zanzibar kwasababu zifuatazo.
1. Mtoto ni Shombe shombe
2. Mtoto ni laini laini
3. Mtoto ni anawakawaka.
4. Mtoto ni ana natural long hair (loh, nipewe nini mimi Mjina)
5. Mtoto ni ana sauti nzuri.
Ndoa tutaifunga next month, mbezi kwa msuguli ndipo sherehe itakuwepo baada ya ndoa kufanyika huko znz. Nitawajuza Tarehe.
Posa ninapeleka Tarehe 25 zanzibar
Ahsanteni sana jf...
Kuna kitu unataka kuthibitisha? Maana si lazima aweke picha kulinda usiri wake
sasa mkuu huku decorate tangazoMkuu una bahat sana, mie nilitoaga tangazo hapa hata PM sikupata.
Mwanamke ni kumshape tu awe jinsi upendavyo wewe. Wapo waliosema hivyo hivyo nilipooa mke wa kwanza lakini bado tunadunda tu hadi sasaMkuu wanawake waliokuja Pm walifuata hiyo ahadi ya kupata "Brevis", hata huyo Mzanzibari uliyemchagua na yeye pia amefuata hiyo Brevis. By the way jiandae vizuri kukabiliana na changamoto ambazo hukuzitarajia. Hamu yake ya kuendesha "Brevis" itakapoisha ndipo na hamu ya kuishi na wewe itaisha vile vile.
Asante sana mkuuHongera mleta uzi kwa kuitikia wito wa JPM kuwa wanaume muwe na wanawake zaidi ya mmoja ili kupunguza ukahaba.
Mimi sikuombei mabaya mkuu, bali ninakutahadharisha tu. Hebu jiulize swali dogo na rahisi, hivi hao wanawake waliokuja PM walivutiwa na wewe kama wewe au walivutiwa na ahadi ya kupewa BREVIS na pesa za Biashara ya kuuza vitenge??Mwanamke ni kumshape tu awe jinsi upendavyo wewe. Wapo waliosema hivyo hivyo nilipooa mke wa kwanza lakini bado tunadunda tu hadi sasa
nadensi naimba ila kwa kuunga ungakwani we densa?
Hakuna mwanamke asiyependa kuolewa, ni kujishaua tu huko mama SabrinaUlitumia vigezo vya sura na sauti,,wengi kweli 29 wengi wana hamu ya kuolewa sana ila kwenye nyuzi wanajifanya hawapendi kuolewa[emoji23]