Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Don Clericuzio, bila shaka umenielewa vibaya tu, the best thing ni kutoa wishes ila kukumbushana ni jambo la heri pia haina maana kwamba ni wivu, ikiwa hivyo nitawaonea wivu wangapi, nitakuwa mjinga sana kama nitamuonea wivu mtu yeyote humu zaidi kwa jambo ambalo sina uhakika nalo. Hatufahamiani kwa sura, au majina zaidi ya hizi ID, maneno, mitazamo na michango tunayoiweka humu!
Hahahaaa aiseeeeeh!!!
Usinifanyie hivyo plz ... Kuwa upande wangu.Dogo leo naelekea kwenye Uzi wa Mashetani Wekundu, naenda kuweka kambi.
Usinifanyie hivyo plz ... Kuwa upande wangu.
Nitaacha kukupa lift
MmmmmhhhUsinifanyie hivyo plz ... Kuwa upande wangu.
Nitaacha kukupa lift
Daah bado upo anga zangu zile zile.Sawa, ngoja niende Madrid, make nako kuna Bundi kule.
Nini sasaMmmmmhhh
Vipi mkuu ubweche utakuepo?Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums.
Niliwapa fursa wana jf walio interested na ndio niliowapa kiapaumbele.
Statistics ya maombi ilikua hivi:
Walioomba jumla ni 32.
Waliokidhi vigezo ni 3
Ambao hawajakidhi vigezo ni 29.
Hao watatu, aliyekua top ni kutoka Zanzibar, aliyefuata ni kutoka singida, na wa huyo mwingine ni kutoka dsm.
Ktk mchujo wa hao watatu, nimeamua kumchukua yule wa zanzibar kwasababu zifuatazo.
1. Mtoto ni Shombe shombe
2. Mtoto ni laini laini
3. Mtoto ni anawakawaka.
4. Mtoto ni ana natural long hair (loh, nipewe nini mimi Mjina)
5. Mtoto ni ana sauti nzuri.
Ndoa tutaifunga next month, mbezi kwa msuguli ndipo sherehe itakuwepo baada ya ndoa kufanyika huko znz. Nitawajuza Tarehe.
Posa ninapeleka Tarehe 25 zanzibar
Ahsanteni sana jf...
Kwa msuguri hapo nitahudhuria....Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums.
Niliwapa fursa wana jf walio interested na ndio niliowapa kiapaumbele.
Statistics ya maombi ilikua hivi:
Walioomba jumla ni 32.
Waliokidhi vigezo ni 3
Ambao hawajakidhi vigezo ni 29.
Hao watatu, aliyekua top ni kutoka Zanzibar, aliyefuata ni kutoka singida, na wa huyo mwingine ni kutoka dsm.
Ktk mchujo wa hao watatu, nimeamua kumchukua yule wa zanzibar kwasababu zifuatazo.
1. Mtoto ni Shombe shombe
2. Mtoto ni laini laini
3. Mtoto ni anawakawaka.
4. Mtoto ni ana natural long hair (loh, nipewe nini mimi Mjina)
5. Mtoto ni ana sauti nzuri.
Ndoa tutaifunga next month, mbezi kwa msuguli ndipo sherehe itakuwepo baada ya ndoa kufanyika huko znz. Nitawajuza Tarehe.
Posa ninapeleka Tarehe 25 zanzibar
Ahsanteni sana jf...
Nataman siku moja nami nilete Uzi kama huuNini sasa
Hahahahaa. Kweli nimeona shida yetu mpaka tunakubali Mathna sio jambo LA kupuuza hili. Itabidi niwaombe waongeze idadi ya maombi tupunguze hii dhahamaUlitumia vigezo vya sura na sauti,,wengi kweli 29 wengi wana hamu ya kuolewa sana ila kwenye nyuzi wanajifanya hawapendi kuolewa[emoji23]
huu uzi wako ulikuwa mzito kuubeba Huyu mwanamke nimjibuje? - JamiiForumsHahaa, acha tu mzee. Kumbe unaukumbuka ule uzi wangu
Acha tu mzee, maumivu hayajapoa badohuu uzi wako ulikuwa mzito kuubeba Huyu mwanamke nimjibuje? - JamiiForums
Daah bado upo anga zangu zile zile.
Ila ngoja. ..
Naomba taratibu za kuhamia majogooni kwanza
we Haupo Kweli?Ulitumia vigezo vya sura na sauti,,wengi kweli 29 wengi wana hamu ya kuolewa sana ila kwenye nyuzi wanajifanya hawapendi kuolewa[emoji23]