Sueky
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 320
- 204
Wakuu salaam za Heri ya
sikukuu ziwe juu yenu.
Nachukua wasaa huu Kumpongeza kila Kiongozi wa Dini,Serikali,Chama,familia na kwa wananchi wote mnaotumia haka kamsemo ka "Itapendeza"
Haijalishi mabilioni hayajafika ama hayapo kabisa lakini Nakupongeza sana Daktari Shika kwa huu msemo.
NIMEGUNDUA huu msemo wako watu wakiutumia vizuri watafanikiwa kupunguza kiasi kikubwa cha ukali wa ukata,ukali wa hasira,stress,wivu wa mapenzi,hasira za wadeni wako,
Kupunguza mchecheto kwa anayefikili huna pesa wakati huo n.k.
Asante Daktari Shika