Asante benki ya NMB kwa kusikia kilio changu

Hivi mpaka waandikwe vibaya kwenye mitandao ya kijamii ndo washughulike na matatizo ya watu??? Tena kwa kitishiiwa
Kwa tuliokuwa tunafikiria kufungua akaunti NMB tumeishatilia shaka kwa waliyomfanyia mlalamikaji.

Vv
 
Umeahidiwa wasipotekeleza uje tena.
Ni kweli, wasipotekeleza uje haraka sana tena ukiwa umeweka na evidence zote, hata utakapofungua kesi kama utakuwa umefulia Mkuu usione haya kuomba msaada.
 
Duh! The POWER of Jamii Forums. Hongera sana Mkuu natumai utapata kila senti ambayo umejinyima kwa miaka chungu nzima ili kukamilisha mipango yako. Kila la heri katika ufuatiliaji wako na usikose kuleta mrejesho labda wengine pia wanaweza kufaidika.

Napenda kuwashukru kwa dhati benki ya NMB makao makuu wa kusiliza kilio changu. Baada ya kuposti usiku wa kuamkia leo kuwa benk ya NMB wamenifanya kuwa ombaomba, NMB makao makuu wamenipigia simu.

Rejea >>> Benki ya NMB wamenifanya ombaomba baada ya kuibiwa pesa zangu nilizolimbikiza kwa miaka kadhaa

Nawashukru kwa ushirikiano ambao wamenionesha naamini kuwa suala hilo watalishughulikia mapema iwezekanavyo.

Kwa sababu hiyo nasitisha kwa muda taratibu zote ambazo nilikuwa nimepanga kuzifanya ili kuwapa muda wa kushughulikia suala langu.

(1)Nakumbuka nilikuwa najiandaa kuweka vielelezo vyote hapa JamiiForums. (2) Nilikuwa najiandaa kusafiri mpaka Dodoma ili kuonana na Waziri wa Fedha. (3) Nilikuwa najiandaa kumuandikia Mh. Rais Magufuli. (4) Na mwisho nilikuwa najiandaa kufungua kesi mahakamani ikiwa hatua yangu ya mwisho.

Nashukuru sana JamiiForums pia wadau wote mliochangia na zaidi nawashukuru NMB Bank makao makuu kwa kujali kilio changu na kuahidi kulishughulikia upesi.

Mungu awabariki sana
 
Nilidhani wamekulipa kumbe wamekupiga lugha umelainika....

Sent from my ...... using JamiiForums mobile app
 
Niko makini sana na hili kwani pesa zangu zina miaka zaidi ya mitatu.wasipo timiza ahadi yao nitarudi hapa na makrabasha yangu yote. Na nitaendelea na tua zangu muhimu. Ni kweli ni mepoteza muda mrefu biashara yangu imesimama familia yangu imeangaika sana
Kusema kweli naitaji kudai fidia.kama nitalazimika kufika mahakamani basi nitadai fidia tena kubwa.ila wakinilipa pesa zangu mapema kabla ya week mbili nitawasamehe
Ulitakiwa uwe mahakamani

Sio wakupe ahadi za chama na serikali....
 
Napenda kuwashukru kwa dhati benki ya NMB makao makuu wa kusiliza kilio changu. Baada ya kuposti usiku wa kuamkia leo kuwa benk ya NMB wamenifanya kuwa ombaomba, NMB makao makuu wamenipigia simu.

Rejea >>> Benki ya NMB wamenifanya ombaomba baada ya kuibiwa pesa zangu nilizolimbikiza kwa miaka kadhaa

Nawashukru kwa ushirikiano ambao wamenionesha naamini kuwa suala hilo watalishughulikia mapema iwezekanavyo.

Kwa sababu hiyo nasitisha kwa muda taratibu zote ambazo nilikuwa nimepanga kuzifanya ili kuwapa muda wa kushughulikia suala langu.

(1)Nakumbuka nilikuwa najiandaa kuweka vielelezo vyote hapa JamiiForums. (2) Nilikuwa najiandaa kusafiri mpaka Dodoma ili kuonana na Waziri wa Fedha. (3) Nilikuwa najiandaa kumuandikia Mh. Rais Magufuli. (4) Na mwisho nilikuwa najiandaa kufungua kesi mahakamani ikiwa hatua yangu ya mwisho.

Nashukuru sana JamiiForums pia wadau wote mliochangia na zaidi nawashukuru NMB Bank makao makuu kwa kujali kilio changu na kuahidi kulishughulikia upesi.

Mungu awabariki sana
Una homa ya "kupongeza"
Pamoja na mzonge yote lakini Bado umeona kuna haja ya kuipongeza na NMB yenyewe!
 
Napenda kuwashukru kwa dhati benki ya NMB makao makuu wa kusiliza kilio changu. Baada ya kuposti usiku wa kuamkia leo kuwa benk ya NMB wamenifanya kuwa ombaomba, NMB makao makuu wamenipigia simu.

Rejea >>> Benki ya NMB wamenifanya ombaomba baada ya kuibiwa pesa zangu nilizolimbikiza kwa miaka kadhaa

Nawashukru kwa ushirikiano ambao wamenionesha naamini kuwa suala hilo watalishughulikia mapema iwezekanavyo.

Kwa sababu hiyo nasitisha kwa muda taratibu zote ambazo nilikuwa nimepanga kuzifanya ili kuwapa muda wa kushughulikia suala langu.

(1)Nakumbuka nilikuwa najiandaa kuweka vielelezo vyote hapa JamiiForums. (2) Nilikuwa najiandaa kusafiri mpaka Dodoma ili kuonana na Waziri wa Fedha. (3) Nilikuwa najiandaa kumuandikia Mh. Rais Magufuli. (4) Na mwisho nilikuwa najiandaa kufungua kesi mahakamani ikiwa hatua yangu ya mwisho.

Nashukuru sana JamiiForums pia wadau wote mliochangia na zaidi nawashukuru NMB Bank makao makuu kwa kujali kilio changu na kuahidi kulishughulikia upesi.

Mungu awabariki sana
WALIKULIPA?
 
Back
Top Bottom