Nafungua akaunti ya benki kwa mara ya kwanza leo

Friday Malafyale

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,789
2,868
Leo tarehe 29 Septemba nimeamua nifungue akaunti ya benki ya NMB sijawahi kumiliki wala kuiwazia ila leo imebidi niwe nayo.

Kuna kahela inabidi kawe humo kwa muda fulani kuepusha majambuta yenye yenye roho mbaya. Japo kabla nilikuwa na akaunti ya Posta na akaunti ya CRDB.

Je ni akaunti gani itafaa kwa kipato changu cha kawaida?? Ikumbukwe sina ajira ila nimejiajiri baada ya magufuli kufanya umafia wake 2015.

Nakaribisha mawazo yenu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni wewe ni small entrepreneur fungua NMB Chap Chap account, running costs yake ipo chini na hawana makato ya mwezi (Monthly Charges) Mapungufu yake ni huwezi kudeposit zaidi ya 5M
 
Leo tarehe 29 Septemba nimeamua nifungue akaunti ya benki ya NMB sijawahi kumiliki wala kuiwazia ila leo imebidi niwe nayo.

Kuna kahela inabidi kawe humo kwa muda fulani kuepusha majambuta yenye yenye roho mbaya. Japo kabla nilikuwa na akaunti ya Posta na akaunti ya CRDB.

Je ni akaunti gani itafaa kwa kipato changu cha kawaida?? Ikumbukwe sina ajira ila nimejiajiri baada ya magufuli kufanya umafia wake 2015.

Nakaribisha mawazo yenu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bonus account
 
Back
Top Bottom