Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
BBC matangazo yao ya asubuhi naona huwa wanapendelea sana CCM, sijui watu wengine mmesikiaje lkn mwaka huu credibility yao naona iko matatani
I hate them...
Jana kwenye kipindi chao asubuhi waliniharibia siku yangu kwa kuweka uwezekano wa asilimia kubwa wa ccm kushinda...wako biased sana hawa, sijui Muhando anawachakachua?
Anyway, I think it is a healthy process this democracy. My only hope is that there won't arise a group of niggers (for lack of a better word - I hate that word!) amongst us and cause chaos.
Hilo tumeliona wengini kweli magazeti mengi yana copy michango ya JF bila kuitaja....! huo ni wizi wa taaluma..!